Vyakula vya Tanzania vyajaza masoko Kenya na Uganda, Tanzania yaanza kutawala soko la chakula EA

Pole boss, takwimu sio lazima tungoje hadi mwaka uishe. Progress so far ni kwamba bado tunawapiga bao kibiashara. Usione Kenya tukija kidiplomasia kila mara mkianza bifu zenu ukadhani hatujui ni wapi ambapo huwa tunashikia ma'p'. Kenya’s trade in EAC up despite tensions
 
Hahahaha TRA na mazao wapi na wapi? Wanaohusika na ushuru wa mazao ya chakula ni serikali za vijiji, mazao ya biashara ni bodi ya zao husika, TRA haiwahusu kaaaabisa

Biashara ya mazao kwenye jumuiya ya Africa mashariki haina ushuru.
Kwa comment yako hii ni wazi kwamba hujatia mguu wako nje ya Tandale. Wala hujakaribia boda yeyote na majirani wenu ukajua shughuli za kibiashara(cross-border) zinavoendeshwa na TRA/KRA huwa zina majukumu ya aina gani kwenye biashara ya aina hiyo. Tena hujasoma hata sentensi moja ya ripoti hiyo kutoka TRA na BoT ukaona kwamba bidhaa mnazouza kwa wingi Kenya zimeorodheshwa. Pata uhondo kidogo. ..."According to Tanzania
Revenue Authority (TRA)
and Bank of Tanzania
(BoT) computations,
provisional data shows that
Tanzanian trade with Kenya recorded a deficit of
$35.8 million in 2018,
down from a surplus of
$90.2 million in 2017"...
 
Hii ni ujinga. Eti 99% ya chakula chetu kinatoka kwenu? Una utoto sana
 
Tofauti kwa mkulima imebadilika na kuwa hasi au chanya au ni business as usual....

vipi hizo faida za soko zinamuinua kipato au anaendelea kunyonywa wakati wanaofaidika ni walanguzi na the usual suspects?
 
Chukua surplus ya Tanzania ya 2018, na chukua surplus ya Kenya ya 2019. Linganisha, ipi kubwa?,. Tunawapelekesha hadi mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mh itoshe kukutaarifu Tz ina weza uka supply 5 times wqnacho supply uganda Kenya kwa hayo mazao uliyo yataja tena hayo mahimdi ndio usiseme sasa nafikiri hata 10 times maana yametapakaa na tena mikoa miwili tu inaweza ika supplya mahimdi Kenya nzima. Brother. We have big 6 region hapa hao ni massive producer wa mahindi.
 
Serikali yenu ianze kuprotect wakulima wenu,
Kenyan brokers wananunua izo mchele tooo cheap na kuziuza kenya,
Serikali itafute better market,
Izo bei ni tooo low
 
Serikali yenu ianze kuprotect wakulima wenu,
Kenyan brokers wananunua izo mchele tooo cheap na kuziuza kenya,
Serikali itafute better market,
Izo bei ni tooo low
Ndio faida ya kuwekeza kwa wakulima wadogo wadogo, wanazalisha mazao mengi kwa gharama ndogo sana, ndio sababu tunasema Tanzania ni China ya East Africa, msipokua makini wakulima wenu hawatozalisha tena kwa kukosa soko kutokana na mazao toka Tanzania.
 
Hivi tz inanunua kitu gani kutoka Kenya?
 
Hivi tz inanunua kitu gani kutoka Kenya?
Tunanunua maziwa, Siagi, Jojo, dawa chache sana za binadamu na mifugo, Colgate, mikokoteni na vifaa vya kilimo kama "watering canes na nyaya.

Bidhaa zote tunazitengeneza hata hapa nchini, ndio sababu hata mipaka ikifungwa husikii mtanzania akilalamika kwasababu hakuna kinachokosekana au kupanda bei, hakuna hata bidhaa moja muhimu toka Kenya.
 
kwa maana nyingine substitute goods!
 
Takwimu zenu za makaratasi zinawadanganya.

Kama siyo uongo, wakati mnabip kufunga mipaka, Tanzania ingelia sana lkn waliokuwa wanalia ni Kenya. Maana yake, Kenyan mnaitegemea Tanzania kuliko sisi tunavyowategemea
 
Umeelewa uzi kweli?
 
Serikali yenu ianze kuprotect wakulima wenu,
Kenyan brokers wananunua izo mchele tooo cheap na kuziuza kenya,
Serikali itafute better market,
Izo bei ni tooo low
Huku mchele kilo 1 huuzwa mpaka sometimes 30 za kwenu, ni kutokana na uzalishaji wa bei rahisi na huku schemes za umwagiliaji ni nyingi za serikali ambazo ni kama bure

Mbegu, mbolea na inputs karibu zote za kilimo na mifugo zipo subsided na serikali, chengine large plantations ni nyingi, sio kama huko kwenu mwisho hectares 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…