Wenye vidonda vya tumbo
wanafanya kazi kama kawaida but kuna vyakula hawatakiwi kula
mfano chai na kahawa asubuhi
but ukienda retsaurant wakati wa breakfast ni chai au kahawa
huo uji hakuna
TUKAE KAMA KAMATI best!Naona humu ndani kuna wataalamu wa vyakula kila aina
lakini sioni vyakula vya mfano
wenye vidonda vya tumbo?
au wenye kisukari na kadhalika
nahisi mtu akitunga hata kitabu tu kitauza sana
since wabongo wengi siku hizi ama wagonjwa au wana wagonjwa majumbani
au mtu aanzishe restaurant maalum ya wagonjwa wa magonjwa fulani...city center