Vyakula vya wagonjwa

Vyakula vya wagonjwa

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Naona humu ndani kuna wataalamu wa vyakula kila aina
lakini sioni vyakula vya mfano
wenye vidonda vya tumbo?
au wenye kisukari na kadhalika
nahisi mtu akitunga hata kitabu tu kitauza sana
since wabongo wengi siku hizi ama wagonjwa au wana wagonjwa majumbani

au mtu aanzishe restaurant maalum ya wagonjwa wa magonjwa fulani...city center
 
The Boss wagonjwa chakula chao uji au supu.......lol. I think its coming soon. King'asti anazo menu kibao atazitambaza humu:becky:

Wenye vidonda vya tumbo
wanafanya kazi kama kawaida but kuna vyakula hawatakiwi kula
mfano chai na kahawa asubuhi
but ukienda retsaurant wakati wa breakfast ni chai au kahawa
huo uji hakuna
 
Wenye vidonda vya tumbo
wanafanya kazi kama kawaida but kuna vyakula hawatakiwi kula
mfano chai na kahawa asubuhi
but ukienda retsaurant wakati wa breakfast ni chai au kahawa
huo uji hakuna

Mimi naona wewe unataka kufungua restaurant.....lol
 
Naona humu ndani kuna wataalamu wa vyakula kila aina
lakini sioni vyakula vya mfano
wenye vidonda vya tumbo?
au wenye kisukari na kadhalika
nahisi mtu akitunga hata kitabu tu kitauza sana
since wabongo wengi siku hizi ama wagonjwa au wana wagonjwa majumbani

au mtu aanzishe restaurant maalum ya wagonjwa wa magonjwa fulani...city center
TUKAE KAMA KAMATI best!
hilo ni bonge la idea!SERIOUS!daamn serious!
 
Mmh, mood yangu ikichafuka siwezi hata kupika. Kuna mmasai kanikera, nitarudi tupike anything you can dream of.
 
Back
Top Bottom