PreGE2025 Vyama 12 vya siasa Songea vyasema vitashiriki uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Vyama 12 vya siasa katika Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma vimetangaza kwa pamoja msimamo wao wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wakipinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reforms No Election", wakisema kauli hiyo haiwakilishi msimamo wa vyama vyote na inakiuka misingi ya haki za kidemokrasia.

Akizungumza kwa niaba ya vyama hivyo, Paulo Mpira Geho, kaimu mwenyekiti wa chama cha ADA-TADEA Wilaya ya Songea, alisema kuwa Watanzania wataendelea kushiriki uchaguzi bila tatizo lolote na kwamba ni jukumu la kila chama cha siasa kujitokeza kuhamasisha amani na ushiriki wa wananchi.

"Kauli za kususia uchaguzi hazitufikishi mbali. Demokrasia inahitaji ushiriki na siyo kutishia kuvuruga amani kwa kauli zisizowakilisha wote. Vyama 12 tumeungana kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani," alisema Geho.

Vyama vilivyotangaza kushiriki uchaguzi mkuu licha ya kauli ya CHADEMA ni pamoja na UMD, CUF, TLP, UDP, CCK, CHAUMA, NLD, MAKINI, NCCR, NRA, DP na ADA-TADEA.

Katika hatua nyingine, vyama hivyo vimewataka viongozi wa dini kuwa watulivu na kujiepusha na kutoa matamko yanayoweza kuchochea mivutano ya kisiasa, wakisisitiza kuwa vyama vya siasa viko chini ya Msajili wa Vyama na ni wajibu wake kuchukua hatua dhidi ya vyama vinavyokiuka sheria.
 
Vishiriki tu, lakini baadaye wasije kulialia (cry foul)…
 
Dawa siyo kukimbia uchaguzi
 
Kwani Ada - Tadea, Udp, Umd na wenzao wanaliga baada ya uchaguzi? We ulisikia wapi? Wao huwa wanapongeza tume inavyosimamia uchaguzi huru, haki na wa kidemokrasia siku zote.
 
Dawa siyo kukimbia uchaguzi
Ila dawa ni kushuhudia kura zikiingizwa kwenye sandarusi? Kushuhudia ma ded wakijificha bar ili wasipokee fomu za wapinzani? Dawa ni kuwanyima fomu za uwakala mawakala wa upinzani siyo?
Mlienda shule kujifunza ujinga?
 
Vyama 12 vya siasa katika Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma vimetangaza kwa pamoja msimamo wao wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wakipinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reforms No Election", wakisema kauli hiyo haiwakilishi msimamo wa vyama vyote na inakiuka misingi ya haki za kidemokrasia.

Akizungumza kwa niaba ya vyama hivyo, Paulo Mpira Geho, kaimu mwenyekiti wa chama cha ADA-TADEA Wilaya ya Songea, alisema kuwa Watanzania wataendelea kushiriki uchaguzi bila tatizo lolote na kwamba ni jukumu la kila chama cha siasa kujitokeza kuhamasisha amani na ushiriki wa wananchi.

"Kauli za kususia uchaguzi hazitufikishi mbali. Demokrasia inahitaji ushiriki na siyo kutishia kuvuruga amani kwa kauli zisizowakilisha wote. Vyama 12 tumeungana kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani," alisema Geho.

Vyama vilivyotangaza kushiriki uchaguzi mkuu licha ya kauli ya CHADEMA ni pamoja na UMD, CUF, TLP, UDP, CCK, CHAUMA, NLD, MAKINI, NCCR, NRA, DP na ADA-TADEA.

Katika hatua nyingine, vyama hivyo vimewataka viongozi wa dini kuwa watulivu na kujiepusha na kutoa matamko yanayoweza kuchochea mivutano ya kisiasa, wakisisitiza kuwa vyama vya siasa viko chini ya Msajili wa Vyama na ni wajibu wake kuchukua hatua dhidi ya vyama vinavyokiuka sheria.
View attachment 3317657
CHADEMA kazi mnayo. Kumbe kuna utitiri wa vyama tanzu vya CCM!

Huyu anataka kutuaminisha kwamba 2024 mass disqualification ya wagombea wa upinzani ilisababishwa na wao kutokuwa na ilani ya uchaguzi?
 
Vyama 12 vya siasa katika Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma vimetangaza kwa pamoja msimamo wao wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wakipinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reforms No Election", wakisema kauli hiyo haiwakilishi msimamo wa vyama vyote na inakiuka misingi ya haki za kidemokrasia.

Akizungumza kwa niaba ya vyama hivyo, Paulo Mpira Geho, kaimu mwenyekiti wa chama cha ADA-TADEA Wilaya ya Songea, alisema kuwa Watanzania wataendelea kushiriki uchaguzi bila tatizo lolote na kwamba ni jukumu la kila chama cha siasa kujitokeza kuhamasisha amani na ushiriki wa wananchi.

"Kauli za kususia uchaguzi hazitufikishi mbali. Demokrasia inahitaji ushiriki na siyo kutishia kuvuruga amani kwa kauli zisizowakilisha wote. Vyama 12 tumeungana kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani," alisema Geho.

Vyama vilivyotangaza kushiriki uchaguzi mkuu licha ya kauli ya CHADEMA ni pamoja na UMD, CUF, TLP, UDP, CCK, CHAUMA, NLD, MAKINI, NCCR, NRA, DP na ADA-TADEA.

Katika hatua nyingine, vyama hivyo vimewataka viongozi wa dini kuwa watulivu na kujiepusha na kutoa matamko yanayoweza kuchochea mivutano ya kisiasa, wakisisitiza kuwa vyama vya siasa viko chini ya Msajili wa Vyama na ni wajibu wake kuchukua hatua dhidi ya vyama vinavyokiuka sheria.
View attachment 3317657
Ujinga uliopitiliza! Kwa sababu Rafiki wa Rostam,ameteuliwa kuwa Mwenza?
 
Back
Top Bottom