Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Vishiriki tu, lakini baadaye wasije kulialia (cry foul)…Vyama 12 vya siasa katika Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma vimetangaza kwa pamoja msimamo wao wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wakipinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reforms No Election", wakisema kauli hiyo haiwakilishi msimamo wa vyama vyote na inakiuka misingi ya haki za kidemokrasia.
Akizungumza kwa niaba ya vyama hivyo, Paulo Mpira Geho, kaimu mwenyekiti wa chama cha ADA-TADEA Wilaya ya Songea, alisema kuwa Watanzania wataendelea kushiriki uchaguzi bila tatizo lolote na kwamba ni jukumu la kila chama cha siasa kujitokeza kuhamasisha amani na ushiriki wa wananchi.
"Kauli za kususia uchaguzi hazitufikishi mbali. Demokrasia inahitaji ushiriki na siyo kutishia kuvuruga amani kwa kauli zisizowakilisha wote. Vyama 12 tumeungana kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani," alisema Geho.
Vyama vilivyotangaza kushiriki uchaguzi mkuu licha ya kauli ya CHADEMA ni pamoja na UMD, CUF, TLP, UDP, CCK, CHAUMA, NLD, MAKINI, NCCR, NRA, DP na ADA-TADEA.
Katika hatua nyingine, vyama hivyo vimewataka viongozi wa dini kuwa watulivu na kujiepusha na kutoa matamko yanayoweza kuchochea mivutano ya kisiasa, wakisisitiza kuwa vyama vya siasa viko chini ya Msajili wa Vyama na ni wajibu wake kuchukua hatua dhidi ya vyama vinavyokiuka sheria.
Dawa siyo kukimbia uchaguziVyama 12 vya siasa katika Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma vimetangaza kwa pamoja msimamo wao wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wakipinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reforms No Election", wakisema kauli hiyo haiwakilishi msimamo wa vyama vyote na inakiuka misingi ya haki za kidemokrasia.
Akizungumza kwa niaba ya vyama hivyo, Paulo Mpira Geho, kaimu mwenyekiti wa chama cha ADA-TADEA Wilaya ya Songea, alisema kuwa Watanzania wataendelea kushiriki uchaguzi bila tatizo lolote na kwamba ni jukumu la kila chama cha siasa kujitokeza kuhamasisha amani na ushiriki wa wananchi.
"Kauli za kususia uchaguzi hazitufikishi mbali. Demokrasia inahitaji ushiriki na siyo kutishia kuvuruga amani kwa kauli zisizowakilisha wote. Vyama 12 tumeungana kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani," alisema Geho.
Vyama vilivyotangaza kushiriki uchaguzi mkuu licha ya kauli ya CHADEMA ni pamoja na UMD, CUF, TLP, UDP, CCK, CHAUMA, NLD, MAKINI, NCCR, NRA, DP na ADA-TADEA.
Katika hatua nyingine, vyama hivyo vimewataka viongozi wa dini kuwa watulivu na kujiepusha na kutoa matamko yanayoweza kuchochea mivutano ya kisiasa, wakisisitiza kuwa vyama vya siasa viko chini ya Msajili wa Vyama na ni wajibu wake kuchukua hatua dhidi ya vyama vinavyokiuka sheria.
Kwani Ada - Tadea, Udp, Umd na wenzao wanaliga baada ya uchaguzi? We ulisikia wapi? Wao huwa wanapongeza tume inavyosimamia uchaguzi huru, haki na wa kidemokrasia siku zote.Vishiriki tu, lakini baadaye wasije kulialia (cry foul)…
Hao huwa hawalii maana hawana kura za kuibiwa.Vishiriki tu, lakini baadaye wasije kulialia (cry foul)…
Dawa ni kushiriki na kukubali kuibiwa ili kuhadaa dunia kuwa kuna uchaguzi wa kidemokrasia?Dawa siyo kukimbia uchaguzi
Ila dawa ni kushuhudia kura zikiingizwa kwenye sandarusi? Kushuhudia ma ded wakijificha bar ili wasipokee fomu za wapinzani? Dawa ni kuwanyima fomu za uwakala mawakala wa upinzani siyo?Dawa siyo kukimbia uchaguzi
Uchaguzi gani?Dawa siyo kukimbia uchaguzi
Uko sahihi.Dawa siyo kukimbia uchaguzi
CHADEMA kazi mnayo. Kumbe kuna utitiri wa vyama tanzu vya CCM!Vyama 12 vya siasa katika Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma vimetangaza kwa pamoja msimamo wao wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wakipinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reforms No Election", wakisema kauli hiyo haiwakilishi msimamo wa vyama vyote na inakiuka misingi ya haki za kidemokrasia.
Akizungumza kwa niaba ya vyama hivyo, Paulo Mpira Geho, kaimu mwenyekiti wa chama cha ADA-TADEA Wilaya ya Songea, alisema kuwa Watanzania wataendelea kushiriki uchaguzi bila tatizo lolote na kwamba ni jukumu la kila chama cha siasa kujitokeza kuhamasisha amani na ushiriki wa wananchi.
"Kauli za kususia uchaguzi hazitufikishi mbali. Demokrasia inahitaji ushiriki na siyo kutishia kuvuruga amani kwa kauli zisizowakilisha wote. Vyama 12 tumeungana kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani," alisema Geho.
Vyama vilivyotangaza kushiriki uchaguzi mkuu licha ya kauli ya CHADEMA ni pamoja na UMD, CUF, TLP, UDP, CCK, CHAUMA, NLD, MAKINI, NCCR, NRA, DP na ADA-TADEA.
Katika hatua nyingine, vyama hivyo vimewataka viongozi wa dini kuwa watulivu na kujiepusha na kutoa matamko yanayoweza kuchochea mivutano ya kisiasa, wakisisitiza kuwa vyama vya siasa viko chini ya Msajili wa Vyama na ni wajibu wake kuchukua hatua dhidi ya vyama vinavyokiuka sheria.
View attachment 3317657
Ujinga uliopitiliza! Kwa sababu Rafiki wa Rostam,ameteuliwa kuwa Mwenza?Vyama 12 vya siasa katika Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma vimetangaza kwa pamoja msimamo wao wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wakipinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reforms No Election", wakisema kauli hiyo haiwakilishi msimamo wa vyama vyote na inakiuka misingi ya haki za kidemokrasia.