Pre GE2025 Vyama mamluki matawi ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni hivi hapa

ADA TADEA,
CCK
, NLD,
Demokrasia Makini,
NCCR- MAGEUZI,
TLP,
UPDP,
SAU
, UMD,
NRA
ACT
CUF
na Chama cha DP.
Ukiondoa CUF na ACT vingine havijawahi kusimamisha mkutano hata mmoja wa hadhara.

Ni vyama vya kwenye makaratasi ya Jaji Mtungi.
 
Kwa hiyo hoja yako ni ni hapa?
 

Siku za hivi karibuni tumeona kwamba Mamluki huwa hawajifichi. Ama...
 

Siku za hivi karibuni tumeona kwamba Mamluki huwa hawajifichi. Ama...
hizi ndio siasa za kistaarabu. Siasa sio uadui. hii nchi ni yetu sote. tutakufa tutaiacha. lazima tupendane tunapokuwa tuko hai.

JESUS IS LORD & SAVIOR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…