Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
kama namulna Zitto Kabwe na ACT-Wazalendo !..vyama ambavyo wagombea wake wa Uraisi hufanya kampeni wateuliwe kuwa wakuu wa mikoa.
..vyama hivyo huwa havisimamishi wagombea ubunge.
..Na huwa havifanyi mikutano ya hadhara kipindi chochote, isipokuwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.
..hapana.kama namulna Zitto Kabwe na ACT-Wazalendo !
ππΎππΎππΎππΎππΎKatika hotuba ya Mh. Lisu kufunga mwaka, iliyosheni mambo mazito yanayowagusa watanzania wa nyanja zote, amezungumzia vyama mamluki ambao wanashirikiana na CCM kufanya uhuni ndani ya taifa letu hasa kutaka kuleta usanii kwenye swala la katiba mpya.
Je hivi vyama mamluki ni vyama gani?
NCCR ingepewa majimbo ingekuwa mamluki, bahati yao huo mchongo haukuiva.Ukitaka kuwa chama mamluki basi uende tofauti kimtazamo na Chadema...
Hata NCCR Mageuzi chini ya Mbatia enzi za mwendazake kilikuwa chama mamluki kwa mujibu wa chadema na kutuaminisha kimepangwa kupewa majimbo na CCM.....
Kitu ambacho CDM hawajui, nao ni chama mamliki aka watoto wa CCM ndio maana miaka yote lazima kiwe na wagombea waliokosa teuzi CCM au waliobanwa maslahi yao wakiwa CCM..
Unamzodoa "Malkia Sedekia" na "Munene ya Shighoma"?ππππ..vyama ambavyo wagombea wake wa Uraisi hufanya kampeni wateuliwe kuwa wakuu wa mikoa.
..vyama hivyo huwa havisimamishi wagombea ubunge.
..Na huwa havifanyi mikutano ya hadhara kipindi chochote, isipokuwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.
Hahahahahahahahqhq....ππΎππΎππΎππΎππΎ
View attachment 2064619
Watu wanasahau haraka sana. Wengi wameshasahau jinsi ACT ''Wazalendo'' ilivyoanzishwa. Warudi kwenye kumbukumbu waone. Hiki ni chama cha kimkakati na kiongozi wake ni wa kimkakati. Believe me!NCCR ingepewa majimbo ingekuwa mamluki, bahati yao huo mchongo haukuiva.
Kwa hiyo uamini kua act Ni mamluki? Subir utakuja fahamuNimemsikiliza maoni ya tundu lisu kuwa vyama vingine vyote ni mamluki ispokuwa chadema na NCCR Wanasikolojia huwa wanasema Huwezi kukubalika kwenye jamii kwa kujisifia wewe mwenyewe na kuwachafua wenzako ukafanikiwa wengi tunayona mapungufu yake lakini yeye anajiona ana akili niyingi kuliko watu wote
ActKatika hotuba ya Mh. Lisu kufunga mwaka, iliyosheni mambo mazito yanayowagusa watanzania wa nyanja zote, amezungumzia vyama mamluki ambao wanashirikiana na CCM kufanya uhuni ndani ya taifa letu hasa kutaka kuleta usanii kwenye swala la katiba mpya.
Je hivi vyama mamluki ni vyama gani?