Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
- Thread starter
- #21
Wee unazungumzia siasa au kampeni?Sumu itakwenda kwa osmosis mjomba bila ya kufanya siasa?
Unadhani hao CCM hawajui kuwa ya UNIP au KANU yanawanyemelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee unazungumzia siasa au kampeni?Sumu itakwenda kwa osmosis mjomba bila ya kufanya siasa?
Unadhani hao CCM hawajui kuwa ya UNIP au KANU yanawanyemelea?
Narudia tena;
Kama hawa wanacheza fojali kwenye mabox ya kura kwanini na nyinyi musiangalie fojali kwa upande wenu. Kwani fojali zimeisha ?
Kama hamuna fojali zaidi ya haki mtasubiri sana
Wewe ni mgeni hapa nchini???Bila ya shaka humu wapo manguli wengi tuu wa vyama pinzani. Na wamekuwa wakipigana vita hivi kwa muda mrefu tuu na hawakuweza kufua dafu.
Baba angu "lipumba, lissu nk huku mwisho wa siku mkiambulia manyoya na bendela ya ccm ikipepea angani.
Naomba leo niwape mbinu ya kivita na mtakuja nishukuru baadae.
Hii ni kama vita mnayopigana kutaka kuungasha ufalme wa CCM wenye wanachama wengi na ni chama la mda mrefu.
Cha kwanza kwenye vita hii ni kudili kwanza na mizizi ya huu falme. Ili mti uanguke nilazima kwanza kwanza utie sumu kwenye mizizi au kukata kabisa mizizi.
Sasa mizizi ya CCM ni ipi?
Ni wanachama
Plan yenu ianzie hapa.
Kwanza kabisa tieni sumu kwa wananchama wa CCM na waanze poteza imani na chama chao.
Waanze ona chama lao halina haki.
Hii sumu wengi munaitumia wakati wa kampeni tena kwa maneno hii haiwezi saidia kuamisha wanachama wa CCM.
Wafanyeni waanze chukia hii chama.
Najua mnawapiganaji wachache na wenye nguvu.
Mkija kupata na watakaotoka kule mbona mtakuwa na wengi tena wengi mno.
Wapiganaji wenu tayari wanaimani haina haja ya kutumia nguvu mingi kuendelea kuwajaza imani haisaidii.
CCM inawanachama wengi. Hata ukisema vyama pinzani wote muungane na muwe na kiongozi mmoja bado haitasaidia kitu.
Hivyo basi kampeni ikiisha nanyi ndo muanze zoezi lenu. Kwanini nimesema kampeni ikiisha. Kampeni tunaihesabu ni kama ndo vita imepamba moto. Huweza wafanya wapiganaji kusaliti chama lao wakati wa vita tena katika ya mapambano huo ni hii kitu huwezi fanikiwa never.
Subirini vita iishe najua mtapigwa ila msife moyo.
Najua wenyewe mnajua nini cha kufanya. Sio mnasubiri mpaka 2025 ndo mnaanza piga watu maneno mtaferi kama mnavyofeli sasa.
Umepigia mstari jibuKwahiyo chadema ndio ataleta maendeleo ya watu?
SASA BASIFojali za nini sisi haki na uhuru vinatutosha.
Vya haramu waachie wao walivyo vizoea.
Ila Nota Bene wajidanganye kukwiba safari hii. Asilaumiwe mtu.
VYOTEWee unazungumzia siasa au kampeni?