Uchaguzi 2020 Vyama pinzani naomba tumieni mbinu hii ya kivita ili kuiangusha CCM 2025

Narudia tena;
Kama hawa wanacheza fojali kwenye mabox ya kura kwanini na nyinyi musiangalie fojali kwa upande wenu. Kwani fojali zimeisha ?
Kama hamuna fojali zaidi ya haki mtasubiri sana

Fojali za nini sisi haki na uhuru vinatutosha.

Vya haramu waachie wao walivyo vizoea.

Ila Nota Bene wajidanganye kukwiba safari hii. Asilaumiwe mtu.
 
Wewe ni mgeni hapa nchini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…