Vyama vya siasa 13 nchini Congo DRC vimepigwa marufuku kufanya majukumu yao

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imevipiga marufuku vyama 13 vya kisiasa, likiwemo chama cha PPRD cha rais wa zamani Joseph Kabila.

Kabla ya uamuzi huo, Tshisekedi aliitisha kikao maalum cha Baraza Kuu la Ulinzi mjini Kinshasa, kilichowakutanisha viongozi waandamizi wa serikali pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa ajili ya kutathmini hali ya usalama na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini.

Kupigwa marufuku kwa vyama hivyo ni hatua ya karibuni katika mvutano unaozidi kuongezeka kati ya utawala wa Tshisekedi na mtangulizi wake, Joseph Kabila, huku tofauti zao za kisiasa zikiendelea kuchochea mjadala kuhusu mustakabali wa utulivu wa nchi hiyo.

Baadhi ya vyombo vya vyama vya siasa ambavyo vimefungiwa ni
  • Emergence Trail (TRAIL-E);
  • Alliance for Alternation and Progress (AAP);
  • Original African Democratic Union (UDA Orgi);
  • Congolese People's Movement for the Republic (MPCR);
  • Labour Alliance for Development (ATD);
  • National Party for New Energy of Congo (PNEL);
  • Lumumbist Progressive Movement (MLP);
  • Union of Congolese Patriots (UPC);
  • Action for the Dignity of Congo and its People (ADCP);
  • Convention of Federalists for Christian Democracy (COFEDEC);
  • Alternative Actions for the Renaissance of Congo (AARC)

PPRD.jpg
​

==============

The Congolese government has ordered the immediate ban on the activities of thirteen political parties and parties throughout the national territory, according to an official message signed Thursday, October 15, by the Deputy Prime Minister in charge of the Interior, Security, Decentralization and Customary Affairs, Jacquemain Shabani.

In this note addressed to the administrative, security and intelligence authorities, the Ministry of the Interior calls for the “unwavering” implementation of this measure in all the jurisdictions concerned, without specifying however the reason that led to the prohibition of these thirteen political parties.

The first part of the targeted formations is the People’s Party for Reconstruction and Democracy (PPRD), the political party of former President Joseph Kabila. The document also cites several other parties, including Leadership and Governance for Development (LGD) by former Prime Minister Matata Ponyo.

Thirteen parties concerned
In addition to the PPRD and the LGD, the decision concerns in particular:
  • Track Emergence (PISTE-E) ;
  • Alliance for Alternance and Progress (AAP);
  • Original African Democratic Union (UDA Orgi) ;
  • Congolese People's Movement for the Republic (MPCR)
  • Labour Alliance for Development (ATD) ;
  • National Party for the New Energy of Congo (PNEL);
  • Progressive Lumumbist Movement (MLP);
  • Union of Congolese Patriots (UPC);
  • Action for the Dignity of the Congo and its People (ADCP);
  • Convention of Federalists for Christian Democracy (COFEDEC);
  • Alternative Actions for the Renaissance of Congo (AARC).

A decision in a tense political context

This measure comes in a political climate marked by the debates sparked by the recent creation of the Front for the Refoundation of the Nation (FRN), a new platform announced by former President Joseph Kabila.

Since that announcement, several political actors and institutions have expressed their concerns about the implications of this initiative for the security and political situation of the country.

Source: Dw Swahili, Radio Okapi
 
Wapinzani wakipata Madaraka wanakuwa zaidi ya Wanyama

Uyu TShisekedi alikuwa mpinzani ni Mtoto wa kiongozi wa Upinzani ambae alikufa akiwa mpinzani mkubwa sana pale Congo kile chama kikaongozwa na Mtoto wake ndio uyu TShisekedi

Sasa fikiria Rais mstaafu Joseph Kabila kampa kiti cha Rais kwa Amani kabisa wakiwa na furaha tele!!!!

Lkn mara tu kujiona yupo juu
Tukasikia Joseph Kabila
kahukumiwa KIFO ❗
Hakiwa nje ya Congo

Demokrasia ktk Africa ni wazimu tu Mwafrika asili yake sio kutumia Demokrasia wkt nguvu anazo majeshi anayo

Demokrasia koti kubwa kwetu!!@

Wakiwa wapinzani wanajifanya kama Watu

Sasa ngoja washike Mpini madaraka

Ni Madikteta kuliko Madikteta tunaowajua ❗

Fikiria pale Chadema kwasasa wanaogopa kufanya Vikao kisa wanakwambia wanafununu za kupinduana

Embu fikiria upya na uwaze upya Bado ni Chama cha Upinzani pale kilipo
Lkn wanakiuka vikao halali ili kubaki madarakani

Sasa wakiwa wapo Ikulu
Watatoka kweli kwa kura au ndio itakuwa Majuto mkuu✍️
 
TShisekedi alikuwa mpinzani ¿¿

Rais wasasa wa Zambia alikuwa mpinzani ¿¿

Chunguza Demokrasia kwenye izo nchi ni Majanga tu

Ndiomana sisi wangine tunasema tutabaki na CCM yetu mpaka Wazungu wajitokeze wenyewe kupambana na CCM !!!

sio kuwatumia kina mjomba Lissu nk.
 
Wapinzani wanapenda kudanganya Wananchi kwamba wanaonewa wanakuja kwa Wananchi kulialia kutia uruma

Lkn kumbe yenyewe yakipata Madaraka ni
Mashetani zaidi na zaidi!!!!!
 
hii Nchi lazima iwe na east na west itagawanywaa tu ni swala la mdaa
 
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imevipiga marufuku vyama 13 vya kisiasa, likiwemo chama cha PPRD cha rais wa zamani Joseph Kabila.

Kabla ya uamuzi huo, Tshisekedi aliitisha kikao maalum cha Baraza Kuu la Ulinzi mjini Kinshasa, kilichowakutanisha viongozi waandamizi wa serikali pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa ajili ya kutathmini hali ya usalama na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini.

Kupigwa marufuku kwa vyama hivyo ni hatua ya karibuni katika mvutano unaozidi kuongezeka kati ya utawala wa Tshisekedi na mtangulizi wake, Joseph Kabila, huku tofauti zao za kisiasa zikiendelea kuchochea mjadala kuhusu mustakabali wa utulivu wa nchi hiyo.

Baadhi ya vyombo vya vyama vya siasa ambavyo vimefungiwa ni
  • Emergence Trail (TRAIL-E);
  • Alliance for Alternation and Progress (AAP);
  • Original African Democratic Union (UDA Orgi);
  • Congolese People's Movement for the Republic (MPCR);
  • Labour Alliance for Development (ATD);
  • National Party for New Energy of Congo (PNEL);
  • Lumumbist Progressive Movement (MLP);
  • Union of Congolese Patriots (UPC);
  • Action for the Dignity of Congo and its People (ADCP);
  • Convention of Federalists for Christian Democracy (COFEDEC);
  • Alternative Actions for the Renaissance of Congo (AARC)

==============

The Congolese government has ordered the immediate ban on the activities of thirteen political parties and parties throughout the national territory, according to an official message signed Thursday, October 15, by the Deputy Prime Minister in charge of the Interior, Security, Decentralization and Customary Affairs, Jacquemain Shabani.

In this note addressed to the administrative, security and intelligence authorities, the Ministry of the Interior calls for the “unwavering” implementation of this measure in all the jurisdictions concerned, without specifying however the reason that led to the prohibition of these thirteen political parties.

The first part of the targeted formations is the People’s Party for Reconstruction and Democracy (PPRD), the political party of former President Joseph Kabila. The document also cites several other parties, including Leadership and Governance for Development (LGD) by former Prime Minister Matata Ponyo.

Thirteen parties concerned
In addition to the PPRD and the LGD, the decision concerns in particular:
  • Track Emergence (PISTE-E) ;
  • Alliance for Alternance and Progress (AAP);
  • Original African Democratic Union (UDA Orgi) ;
  • Congolese People's Movement for the Republic (MPCR)
  • Labour Alliance for Development (ATD) ;
  • National Party for the New Energy of Congo (PNEL);
  • Progressive Lumumbist Movement (MLP);
  • Union of Congolese Patriots (UPC);
  • Action for the Dignity of the Congo and its People (ADCP);
  • Convention of Federalists for Christian Democracy (COFEDEC);
  • Alternative Actions for the Renaissance of Congo (AARC).

A decision in a tense political context

This measure comes in a political climate marked by the debates sparked by the recent creation of the Front for the Refoundation of the Nation (FRN), a new platform announced by former President Joseph Kabila.

Since that announcement, several political actors and institutions have expressed their concerns about the implications of this initiative for the security and political situation of the country.

Source: Dw Swahili, Radio Okapi
Jumuiya ya EAC imeamua kubaki kimya wakati mgogoro kati ya Kabila na Tshekedi ukizikidi kukiweka Drc kwenye hatari ya vita kubwa.

zitto junior
 
Tatizo wote hawana political legitimacy kuunganisha wenzao na pia kila nchi ina maslahi yake.

Mfano Kenya wazi kabisa wanaunga mkono AFC/M23 hata mkutano mkuu wa kuzindua movement hiyo ulifanyika Nairobi!!

Hapo unakuta Kagame na Museveni nao ni team M23/AFC so hawawezi mediate kwa favor ya serikali ya Kinshasa.
 
TShisekedi alikuwa mpinzani ¿¿

Rais wasasa wa Zambia alikuwa mpinzani ¿¿

Chunguza Demokrasia kwenye izo nchi ni Majanga tu

Ndiomana sisi wangine tunasema tutabaki na CCM yetu mpaka Wazungu wajitokeze wenyewe kupambana na CCM !!!

sio kuwatumia kina mjomba Lissu nk.
Ccm baki wewe na wapuuzi wenzio kina nifa wa miss grand
 
Wapinzani wanapenda kudanganya Wananchi kwamba wanaonewa wanakuja kwa Wananchi kulialia kutia uruma

Lkn kumbe yenyewe yakipata Madaraka ni
Mashetani zaidi na zaidi!!!!!
Hata ccm mjiandae siku Nchi ikikombolewa kimbieni kabisa maana mtauwawa mchana kweupe nguruwe nyinyi hilo mlijue mapema shenzi kabisa.
 
EAC hawana hizo nguvu, kwa Congo acha nature ifanye kazi yake and hopefully a good guy will come out a winner
Kama EAC haiwezi kutatua mizozo ya wanachama wake basi haina maana ni Klabu tu ya viongozi kupiga soga.
 
Hata ccm mjiandae siku Nchi ikikombolewa kimbieni kabisa maana mtauwawa mchana kweupe nguruwe nyinyi hilo mlijue mapema shenzi kabisa.

Mungu fundi hawezi kuwapa Nchi wahuni wahuni kama nyinyi

Leo CCM wapo kwenye Uhongozi lkn hakuna mizwegwe yoyote upande wa Upinzani
Unapata

Kwaiyo wapinzani hawawezi kuleta Demokrasia lkn pia watu wataokotwa wamekufa wengi sana

Ndiomana tunatoa mwito kwa Wananchi kuendelea kuisapoti CCM ili Tanzania ibaki Salama na kuendelea kujipatia
maendeleo yetu ✍️
 
Back
Top Bottom