Vyama vya siasa feki Tanzania

Vyama vya siasa feki Tanzania

kwa definition yako, ufeki wa vyama ni nini? na ni vyama vipi ni feki?

kama chama kinashindwa hata kuwasilisha mambo yake vizuri kwa umma ni kituko kinapodai eti kipewe nchi kiongoze.
Lakini ufeki kwangu mana yake ni kutokuwa na uhalisia yaani kitu ambacho siyo guinine,kinajifanyisha.Mfano wa ufeki ni pale wale wanaojiita wapinzani wa ccm wanaposhindwa kuelewana wao kwa wao,wanaposhindwa kuwa wamoja,wanapokuwa wanafiki,mamluki,vigeugeu,wanapokuwa na mikakati butu ya kuing'oa ccm nk
 
Soma hicho ulichoandika hapo juu na ulinganishe na hiki ulichoandika hapa chini few minutes ago:

Mtarajiwa said:
Mimi naamini hakuna chama kinachowafundisha wanachama wake kutokuwa waadilifu ama kuwa mafisadi.Haya ni matendo binafsi ya wanachama mmojammoja kama mapungufu waliyonayo pia baadhi ya wanachama wa vyama vingine vya siasa.Hakuna chama chote cha siasa tanzania(duniani) ambacho wanachama wake wote ni safi na wanakitakia mema chama na wengine wote ambao si wafuasi wa kile chama.

Nimekusaidia kidogo kwa kukuwekea bold kwenye yale yanayopingana moja kwa moja kwenye post hizo mbili. Inaonekana wewe ndio umeshidwa kufanya kazi nzuri ya kufikisha ujumbe wa ccm hapa jamvini. Rudi kivukoni ukasome tena propaganda maana inakushinda na unaishia kujikanyaga tu..
 
Soma hicho ulichoandika hapo juu na ulinganisha na hiki ulichoandika hapa chini few minutes ago:

Nimekusaidia kidogo kwa kukuwekea bold kwenye yale yanayopingana moja kwa moja kwenye post hizo mbili. Inaonekana wewe ndio umeshidwa kufanya kazi nzuri ya kufikisha ujumbe wa ccm hapa jamvini. Rudi kivukoni ukasome tena propaganda maana inakushinda na unaishia kujikanyaga tu..

sasa lipi usiloelewa hapo?
kusema wapinzani feki haina maana kwamba ccm siyo feki,unaelewa?
 
Soma tena ulichoandika hapa:

Mtarajiwa said:
Mimi naamini hakuna chama kinachowafundisha wanachama wake kutokuwa waadilifu ama kuwa mafisadi.Haya ni matendo binafsi ya wanachama mmojammoja kama mapungufu waliyonayo pia baadhi ya wanachama wa vyama vingine vya siasa.Hakuna chama chote cha siasa tanzania(duniani) ambacho wanachama wake wote ni safi na wanakitakia mema chama na wengine wote ambao si wafuasi wa kile chama.
 
ufeki wa ccm
ahadi nyingi kwa wananchi lakini hawatekelezi kwa mfano,upo hapo?
 
Na tofauti ya ccm na hivyo vingine ulivyoita kuwa vyama visivyo halisi na vinavyojaribu kuingoa ccm ni nini?

na kama vyote ni feki, ni kipi bora kwa sasa kuongoza nchi?

feki na kinachoiba, kuuza, na kuitia nchi umasikini kama ccm au vingine ambavyo ni feki kwa kuwa bado vinajijenga ili kuongoza nchi?
 
MWK, Ufeki na Ufisadi wa hali ya juu.

Tell me about it!

Hapa watabanwa hadi kieleweke. Wakati watu hawana madawa hospitali wala maji safi, barabara za kueleweka, nishati, bei za juu za vyakula na mengine mengi tu ambayo vijisenti walivyokwiba vingeweza kugharimia, yeye analeta hapa suala la website ya CUF ambayo iko kwenye matengenezo?

What a shame.... ufisadi at its best!
 
Anayesema kuwa CCM haina ufeki anyooshe mkono juuu
 
Website na ufisadi wapi na wapi leteni mada?

Wenzako wanakwepa kujadili suala la watanzania ambao hawana madawa hospitali wala maji safi, barabara za kueleweka, nishati, bei za juu za vyakula na mengine mengi tu ambayo vijisenti ccm na viongozi walivyokwiba vingeweza kugharimia na jinsi ambavyo ccm imeshindwa kurekebisha hilo au jinsi inavyohusika moja kwa moja na hili.

So wameamua kujadili websites ambazo ziko kwenye matengenezo kuwa eti ndio sign za ufeki wa vyama.
 
Na tofauti ya ccm na hivyo vingine ulivyoita kuwa vyama visivyo halisi na vinavyojaribu kuingoa ccm ni nini?

na kama vyote ni feki, ni kipi bora kwa sasa kuongoza nchi?

feki na kinachoiba, kuuza, na kuitia nchi umasikini kama ccm au vingine ambavyo ni feki kwa kuwa bado vinajijenga ili kuongoza nchi?

kwa sasa bado hakuna mpinzani aliyeimarika na anayeaminika na watanzania kuwa anaweza kuiondoa ccm madarakani.nimeshasema hili nadhani.sababu kubwa ni hiyo ya wapinzani kuwa feki.na ndiyo maana wananchi wanaona bora waendelee kukichagua ccm tu.
nimeshasema pia kuwa ufisadi si sera ya chama chochote kile.ukasema najichanganya,nadhani bado uelewi mtazamo wangu ni upi.mtazamo wangu ni kipatikane chama shindani makini,kitakachokuwa na watu makini ambacho ndiyo kiwe tishio na mbadala wa ccm,kiwape wananchi chaguo la pili na siyo huu utitiri na ubabaishaji tulionao sasa unaowapa kiburi ccm na hata kuamini kuwa hata wakisimamisha mgomba na upinzani mgomba utapita tu!
Nadhani usiulize nani ni bora kuongoza nchi kwa sasa,uliza nani anayeweza kushinda uchaguzi kwa sasa?maana swala siyo kujiona bora,je huko kujiona kwako bora kumeshawathibitishia wengine na wao kukuona kuwa unafaa?manake ndiyo huko kujiona unafaa huku chaguzi zikija unaishia kushinda majimbo 2 tu!
 
kwa sasa bado hakuna mpinzani aliyeimarika na anayeaminika na watanzania kuwa anaweza kuiondoa ccm madarakani.nimeshasema hili nadhani.sababu kubwa ni hiyo ya wapinzani kuwa feki.na ndiyo maana wananchi wanaona bora waendelee kukichagua ccm tu.

Hayo ni maoni yako (nayaita ya kifisadi) na mimi sikushangai ukisema kuwa hakuna chama ambacho kiko tayari kuitoa ccm kwa sababu wewe na baadhi ya hao unaowaita watanzania wanapenda status quo kuliko mabadiliko.

nimeshasema pia kuwa ufisadi si sera ya chama chochote kile.ukasema najichanganya,nadhani bado uelewi mtazamo wangu ni upi.

Ufisadi ni sera ya ccm kama ulikuwa hujui.

mtazamo wangu ni kipatikane chama shindani makini,kitakachokuwa na watu makini ambacho ndiyo kiwe tishio na mbadala wa ccm,kiwape wananchi chaguo la pili na siyo huu utitiri na ubabaishaji tulionao sasa unaowapa kiburi ccm na hata kuamini kuwa hata wakisimamisha mgomba na upinzani mgomba utapita tu!

Hicho chama unataka kipatikane toka mbinguni?

Nadhani usiulize nani ni bora kuongoza nchi kwa sasa,uliza nani anayeweza kushinda uchaguzi kwa sasa?maana swala siyo kujiona bora,je huko kujiona kwako bora kumeshawathibitishia wengine na wao kukuona kuwa unafaa?manake ndiyo huko kujiona unafaa huku chaguzi zikija unaishia kushinda majimbo 2 tu!

Huwezi kuleta hoja ambayo haina majibu hapa kwa sababu hii sio wonderland. Huwezi kusema ccm ni fisadi bila kutoa alternative. huwezi kukosa chaguo maana at the end of the day lazima kuwe na chama kinachoongoza.

kwako inaonekana chama chenye website nzuri lakini kikiiba mabilioni ya nchi na kuuza nchi kwa wageni huku wanawake na watoto wachanga wakifa kwa magonjwa yanayotibika ni bora kuliko chama ambacho bado kinajenga website yake.
 
Wenzako wanakwepa kujadili suala la watanzania ambao hawana madawa hospitali wala maji safi, barabara za kueleweka, nishati, bei za juu za vyakula na mengine mengi tu ambayo vijisenti ccm na viongozi walivyokwiba vingeweza kugharimia na jinsi ambavyo ccm imeshindwa kurekebisha hilo au jinsi inavyohusika moja kwa moja na hili.

So wameamua kujadili websites ambazo ziko kwenye matengenezo kuwa eti ndio sign za ufeki wa vyama.

MWK
sure kuna utata mwingi ktk huduma za jamii Tanzania. Unajua hii ccm haina maana kabisa kwani wanapiga siasa tangu uchaguzi uishe mpaka uje mwingine.... Ukiwauliza masuala ya Jamii siku hizi wanalo jibu common la "KILA KITU KIMEKAMILIKA, UTEKELEZAJI UTAANZA PUNDE", halafu bado barabara za katikati ya jiji la kibiashara ni aibu tupu, I can say jiji la DAR linanuka uvundo wa kila aina, halafu ukienda ktk kilimo ndiko pumba zimejaa mpaka basi, yaani utawaona wakulima wa kijijini wakibembeleza kulipwa pesa zao walizokopesha mazao yao kwa serikali halafu wakiomba upatikanaji wa pembejeo ambapo stores zipo dar... ukirudi mahospitali ukikosa kusikia kesi za vifo vinavyotokana na uzembe na upungufu wa madawa basi ukatambike. Madaktari siku hizi wameingia ktk researches projects ili wapate mrdi wao...
Twende shuleni, mitaala inabadilishwa kama machinga na nguo zake na hata hiyo mitaala haijashiba kukidhi matakwa ya mazingira ya elimu ya Tanzania. kuna kitu kinaitwa EMAC ambao ndio wnapitisha miswada ya vitabu vya rejea kwa shule za msingi na secondari, hii kitu inaua book industry ya nchi kwani hakuna vitabu vya ziada (suplementary) vinavyochapishwa zaidi ya Kiada (references). Hizi ndizo sera za CCM, wanaharibu kila kitu halafu watoto na wajukuu wao wanawasomesha majuu wakirudi washike mahala pao..... Tukihemea kwenye siasa, huko wamepandikiza vyama vyao ili kugawa kura za vyama-shindani ili ionekane kuwa Tanzania chama hiki chapendwa sana....

Kama kuna mtu ana pumzi za kutetea chama chako maaluni (ccm) asimame na kusema mimi hapa....
 
Ndio maana nimesema hapa kuwa ufisadi ni sera ya ccm. Hebu jiulize tu swala kama richmond/dowans au buzwagi ambavyo wametapatapa kulisolve. Wao wanataka wananchi wawe masikini to a point ambayo wakipewa vitenge vya ccm na mwizi na mkoloni rostam azizi basi wauze uhuru wao wa kuchagua.
 
Haya yalishaongolewa siku za nyuma. Ninarudia,ukweli ni kwamba vyama vya ushindani viko katika hali nzuri zaidi kujijenga na kuleta changamoto zaidi kwenye bunge letu katika hiki kipindi na kipindi kijacho. Kukosolewa na kujirekebisha kwa chama ndiko kuna imarisha chama, kwa hiyo wale wana JF ambao hawataki kusikia vyama vyao vinakosolewa wanavidhoofisha vyama vyao na upeo wao mdogo (tunnel vision).
 
Sijaona bado yeyote aliyekataa kuwa vyama visikosolewe. Kumbuka hapa hii ni forum na watu wanachangia mawazo yao na kujibu hoja kwa hoja. Mtu akitoa hoja hapa inakubaliwa au kupingwa accordingly.

Mtu akileta hoja kwa kuna vyama feki basi anapewa to the face swali la kwa nini anafikiri kuna vyama feki na kisha anapewa vyama vyote ambavyo ni feki. Kama ulifikiri hii ni kuzuia vyama kukosolewa basi inabidi wewe ufanyiwe uchunguzi wa huo upeo wako "mkubwa"
 
MWK
Unajua kuwa ile taskforce ya BOT inachunguza how to act on kipengele cha EPA...
Hivi ile ripot ya Ernst & Young inahusu EPA pekee??? kuna uhalifu wa kimaadili wa kila aina ktk ripoti ile...

Pia hawa hawa CCM wanajua sana kulindana ktk ufujaji. Naomba ushahidi kuwa kuna mrejesho wowote wa fungu lisilotumika ktk bajeti zilizopita. Na utakuta miradi mingi waliyoipanga wao wenyewe haifanyiki na hela hairudi...

Kwa vyama-shindani hiki ndicho kipindi pekee cha kujijenga kwa uchaguzi ujao... INAWEZEKANA labda wakuu wa majeshi waape kama walivyoapa wa Zimbabwe
 
Back
Top Bottom