KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
good job!
mwanzo mzuri huu!
you got that right ..
ukitumia maneno ya chenge unaipata right on your face!
i didnt get shyt from u. . bring it on, so i can face it chick ! tena ntatumia mengi tu ikiwemo na vijisenti !
maneno kama haya nia ni kufungiwa kisha uanze kulialia kuwa unaonewa?
ushawahi kunisikia nikilalamika kufungiwa ?? lete sasa hayo uliyosema nitayapata on my face au ulidhani nitaogopa ?? unajifanya maneno kama haya na wengine wanapoandika unakuwa huyaoni ??
kwa hiyo unafanya makusudi ili ufungiwe?
Ukitaka kujua jinsi vyama fulani visivyo serious jaribu kutembelea website ya chama cha CUF. http://www.cuftz.org/
Itambulike kwa wana JF wote kuwa utamaduni wa kutetea uozo wa vyama fulani kwa ajili tu ya ushabiki ni kuandaa moto wa kuliunguza taifa.
Haya, wale wenye contacts za watu wa CUF wawakumbushe kuwa website yao haiko hewani.Huu ndio umuhimu wa forum na sio kutetea bila manufaa.
Tuko katika mchakato wa kuangalia sera za vyama vilivyo tayari kuongoza taifa, iwapo CUF hawataweka website yao hewani wasilalamike jina la chama chao lisipoonekana kwenye waraka unaotayarishwa kwa ajili ya wananchi.
Mkuu,
Nafikiri sasa tuanze kuwaweka hawa chadema kapuni, maana tushajua msingi wa chama chao ni uozo mtupu, wanapeana ulaji kulingana na mira zao, ni maopportunists, na sasa kilichobaki ni kuwaangalia CUF ! Civic United Front. ! chini ya Ibrahim Lipumba !
Hawa cuf nao ni chama cha kidini tu. Hakuna chama chochote cha maana kwa upinzani tanzania. cuf wamekwisha maana sasa hivi hakuna jimbo lolote lile ambalo wameshinda au watashinda bara.
Mkuu,
Nafikiri sasa tuanze kuwaweka hawa chadema kapuni, maana tushajua msingi wa chama chao ni uozo mtupu, wanapeana ulaji kulingana na mira zao, ni maopportunists, na sasa kilichobaki ni kuwaangalia CUF ! Civic United Front. ! chini ya Ibrahim Lipumba !
hivi kama cuf ni chama cha kidini, ni dini gani hiyo?
Nina hamu sana ya kupitia sera na katiba ya CUF ila hawako hewani, ndio maana inakuwa vigumu.
Ulichosema Kada ni sahihi, tukiweke chama cha CUF kwenye microscope tuone kama kiko tayari kuongoza nchi.
CHADEMA is out of the list.
cuf kinajulikana kuwa ni chama cha kiislam na viongozi wake wote ni wa kutoka dini moja.
Unajua wewe unafanana na mzazi anayeenda kugombana na mwalimu kwa sababu amemuadhibu mtoto wake!
Hapa uozo wa CUF uko bayana, sasa badala ya kutafuta jinsi ya kuwasaidia CUF wewe unatafuta jinsi ya kuwatetea huku uozo ukiwa uko palepale.
Swala la website ya CUF lina uhusiano gani na Buzwagi, BoT etc.?
Hii tabia ya kutetea kila uozo wa upinzani kwa kulinganisha na udhaifu wa CCM ndio inafanya mpoteze nguvu ambazo mngezitumia kuviimarisha hivyo vyama. Kama sasa hivi ungetumia muda uliotumia kuleta misutano ya kuhusu CCM ambayo wala haikuwa na uhusiano wowote na thread hii pengine ungeweza kutumia muda huo kutafuta jinsi ya kuwasaidia CUF kuiweka website yao hewani.
Kutetea uozo hakutakinufaisha chama chochote kile.
kama cuf ni chama cha kiislam, je ccm ambayo viongozi wake wakubwa kama Kikwete, Karume na Makamba ni waislam tukiite chama cha kikristo?
hawa ni viongozi watatu ndio waislam. mbona msekwa sio muislam?
na kamati kuu na halmashauri kuu ya ccm imejaa waislam tupu kwani hujaliona hili?
hawa ni viongozi watatu ndio waislam. mbona msekwa sio muislam?