Vyama vya siasa feki Tanzania

Vyama vya siasa feki Tanzania

maneno kama haya nia ni kufungiwa kisha uanze kulialia kuwa unaonewa?

ushawahi kunisikia nikilalamika kufungiwa ?? lete sasa hayo uliyosema nitayapata on my face au ulidhani nitaogopa ?? unajifanya maneno kama haya na wengine wanapoandika unakuwa huyaoni ??
 
kwa hiyo unafanya makusudi ili ufungiwe?

jibu swali ! kwa kifupi nishafungiwa mara nyingi and i love jf for that maana wanafanya wanachosema watafanya iwapo jambo fulani litafanywa, so i dont mind !

acha kuflip flop, kama umeshindwa ungefunga bowl lako na watu wangesahau kama umeshindwa kujibu ulichoulizwa !
 
Itambulike kwa wana JF wote kuwa utamaduni wa kutetea uozo wa vyama fulani kwa ajili tu ya ushabiki ni kuandaa moto wa kuliunguza taifa.

Haya, wale wenye contacts za watu wa CUF wawakumbushe kuwa website yao haiko hewani.Huu ndio umuhimu wa forum na sio kutetea bila manufaa.

Tuko katika mchakato wa kuangalia sera za vyama vilivyo tayari kuongoza taifa, iwapo CUF hawataweka website yao hewani wasilalamike jina la chama chao lisipoonekana kwenye waraka unaotayarishwa kwa ajili ya wananchi.
 
Mkuu,
Nafikiri sasa tuanze kuwaweka hawa chadema kapuni, maana tushajua msingi wa chama chao ni uozo mtupu, wanapeana ulaji kulingana na mira zao, ni maopportunists, na sasa kilichobaki ni kuwaangalia CUF ! Civic United Front. ! chini ya Ibrahim Lipumba !
 
Hawa cuf nao ni chama cha kidini tu. Hakuna chama chochote cha maana kwa upinzani tanzania. cuf wamekwisha maana sasa hivi hakuna jimbo lolote lile ambalo wameshinda au watashinda bara.
 
hivi kama cuf ni chama cha kidini, ni dini gani hiyo?
 
Mkuu,
Nafikiri sasa tuanze kuwaweka hawa chadema kapuni, maana tushajua msingi wa chama chao ni uozo mtupu, wanapeana ulaji kulingana na mira zao, ni maopportunists, na sasa kilichobaki ni kuwaangalia CUF ! Civic United Front. ! chini ya Ibrahim Lipumba !

Nina hamu sana ya kupitia sera na katiba ya CUF ila hawako hewani, ndio maana inakuwa vigumu.
Ulichosema Kada ni sahihi, tukiweke chama cha CUF kwenye microscope tuone kama kiko tayari kuongoza nchi.
CHADEMA is out of the list.
 
hawa cuf ni chama cha kidini na hawana nafasi yoyote ya kuongoza nchi. Hivi vyama vya upinzani vyote ni fake kama ulivyosema mwanzoni. ccm haina haja ya kuvichunguza hivi vyama kwani vinajibomoa vyenyewe.
 
cuf kinajulikana kuwa ni chama cha kiislam na viongozi wake wote ni wa kutoka dini moja.

kama cuf ni chama cha kiislam, je ccm ambayo viongozi wake wakubwa kama Kikwete, Karume na Makamba ni waislam tukiite chama cha kikristo?
 
Unajua wewe unafanana na mzazi anayeenda kugombana na mwalimu kwa sababu amemuadhibu mtoto wake!

Hapa uozo wa CUF uko bayana, sasa badala ya kutafuta jinsi ya kuwasaidia CUF wewe unatafuta jinsi ya kuwatetea huku uozo ukiwa uko palepale.

Swala la website ya CUF lina uhusiano gani na Buzwagi, BoT etc.?

Hii tabia ya kutetea kila uozo wa upinzani kwa kulinganisha na udhaifu wa CCM ndio inafanya mpoteze nguvu ambazo mngezitumia kuviimarisha hivyo vyama. Kama sasa hivi ungetumia muda uliotumia kuleta misutano ya kuhusu CCM ambayo wala haikuwa na uhusiano wowote na thread hii pengine ungeweza kutumia muda huo kutafuta jinsi ya kuwasaidia CUF kuiweka website yao hewani.

Kutetea uozo hakutakinufaisha chama chochote kile.

Asante mkuu,

TIme to fight back, amezidi kubadili mambo hapa. Wape wapinzani hao vidonge vyao..... kwi kwi kwi
 
kama cuf ni chama cha kiislam, je ccm ambayo viongozi wake wakubwa kama Kikwete, Karume na Makamba ni waislam tukiite chama cha kikristo?

hawa ni viongozi watatu ndio waislam. mbona msekwa sio muislam?
 
....shule shule shule...................nendeni shule jama......tuondoleeni uchafu wa kidini hapa...........
 
Back
Top Bottom