KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
....shule shule shule...................nendeni shule jama......tuondoleeni uchafu wa kidini hapa...........
mzee, nakushauri ugoogle MENSA !! nafikiri itasaidia sana na wengineo waliomo humu ndani ya forum !
Ha ha ha ...wewe kama kawaida yako na upeo wako unaishia kwa
Tatizo nini wakati website ambayo haijapondwa mpaka sasa ni www.chadema.net chini ya Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu Dr Slaa?
Asha
Asha, website ya CUF ndio ilikua ikitolewa makosa, lakini baadala yake watu wakataka kurukia mambo mengine. Lakini naona hukuziona statements zingine ambazo hazikua juu ya huu mjadala isipokua hii. Huyu Mbowe ni Fisadi period, kama mafisadi wengine tunaowapiga vita, Chenge, Mr clean nk. Mwanachama hapo juu yeye ukimgusa Mbowe basi ugomvi. Ukweli ni kwamba website ya CUF haijatulia hata kidogo...sasa hasira za nini kama watu wakisema?
hawa cuf ni chama cha kidini na hawana nafasi yoyote ya kuongoza nchi. Hivi vyama vya upinzani vyote ni fake kama ulivyosema mwanzoni. ccm haina haja ya kuvichunguza hivi vyama kwani vinajibomoa vyenyewe.
sio mwanzo, nakaribia climax !
Ufisadi wa Mbowe ni upi?Ni wewe peke yako Unamtambua Mbowe kama fisadi,lakini Chenge,Mramba,Karamagi na Mkapa wanatambuliwa na wana wa tanzania.Mlijaribu kutafuta suluhu kwenye ufisadi kwa kumpakazia Mbowe lakini wananchi wakawang'ang'ania ninyi tu.Mungu hamtupi nja wake.
Endeleeni kuendekeza ushirika na Shetani lakini kiama chaja.Na msilalame!
Kichani mwa mtu panapokuwa karakana ya Shetani......
Wakuu mpaka hapa mmejua aina ya watu ambao CCM inawatumia,kwa kweli ni watu wenye matatizo ya akili maanake huwa hata hawatambui thamani yao ndio maana wanafanya kazi za aibu.
Plz usije ukajaribu ku-expose ID yako kwa watoto wako wakajua wewe ndio unatumia hilo jina maanake hata wanaweza wakakukana.
Ufisadi wa Mbowe ni upi?Ni wewe peke yako Unamtambua Mbowe kama fisadi,lakini Chenge,Mramba,Karamagi na Mkapa wanatambuliwa na wana wa tanzania.Mlijaribu kutafuta suluhu kwenye ufisadi kwa kumpakazia Mbowe lakini wananchi wakawang'ang'ania ninyi tu.Mungu hamtupi nja wake.
Endeleeni kuendekeza ushirika na Shetani lakini kiama chaja.Na msilalame!
Ufisadi wa Mbowe ni upi?Ni wewe peke yako Unamtambua Mbowe kama fisadi,lakini Chenge,Mramba,Karamagi na Mkapa wanatambuliwa na wana wa tanzania.Mlijaribu kutafuta suluhu kwenye ufisadi kwa kumpakazia Mbowe lakini wananchi wakawang'ang'ania ninyi tu.Mungu hamtupi nja wake.
Endeleeni kuendekeza ushirika na Shetani lakini kiama chaja.Na msilalame!
Ungekuwa unatumia muda propotionally kutafiti ufisadi wa viongozi wa vyama vyote usingepata shida kujua jibu la swali lako! Msiwape viongozi wa vyama vingine free pass kwa kuweka watu wa chama kimoja tu chini ya microscope.
Thats a huge mistake!!!
RIGHT ON ! Unaona sasa hata ufisadi wa mbowe haujui, kwa sababu ni mvivu kuamka na kuchunguza both sides ambazo wengi tumekuwa tukipigia kelele humu.... Ni vibaya sana kushabikia kitu au mtu ambae humjui ! Thats a HUUGGEEEEEE MISTAKE, tena maybe A GRAVE MISTAKE !
Wengine tukianza kuwachunguza viongozi wa upinzani kwa manufaa ya taifa, tunaanza kuitwa majina kedekede ambayo hatustahili kuitwa...lakini that doesnt stop our spirit as long as we know what we are fighting for.
wazee wa saddam hussein naona mnazidi kuongezeka lakini vile vile kwa kasi hiyo hiyo mnayoongezeka na itakuwa kasi hiyo hiyo mtakavyoondoka humu ! ulichoongea kinaitwa M.A au Mdebwedo Analysis !
Kila mtu anayeomba dhamana ya kuongoza taifa ni lazima afanyiwe uchunguzi muafaka bila kujali chama anachotoka.
Tabia ya kutetea viongozi na vyama fulani ambayo imejitokeza humu JF inapoteza maana na umuhimu wa JF.
Tunapoongelea vyama tuongee sera, katiba na imani za vyama hivyo kama zinavyoelezewa kwenye nyaraka rasmi za vyama hivyo. Tunapowazungumzia viongozi wake tuwe na uthibitisho wa yale tunayosema.
KUFANYA VINGINEVYO NI PROPAGANDA AMBAZO SIKU ZOTE TUTAZIPIGA VITA.
Umezoea mdako wewe,hapa huwa tunakata ishus za taifa
Unajua huwa wanasema nini? Kilicho sehemu isiyostahili ni Uchafu.
Kada unastahili kuwa vijiweni na wahuni wenzako,usituletee bangi zako hapa.Usije hapa kuvuruga mada,unatukana members hapa ukifungiwa unalia JF kuna double standards
unajua sina mazoea na wewe, lakini kwa hili sikuweza kuacha liondoke, unaweza kuniambia ni nani niliyemtukana humu ndani ya forum ? au kama kuna yeyote niliyemtukana basi ajitokeze ! LINI ulishawahi nisikia kuna double standards, na kama nilisema je ulielewa nilichokuwa nakiongelea ?
anyway tuendelee kujadili vyama feki ambavyo vimejaa rundo tanzania na tuvikemee ![/QUOTE]
.....Tukianza na CCM

thats ok ! we can give ccm a head start ! sure, why not ! anza ! na tutajimwaga kwa wingi kuchangia..

anyway tuendelee kujadili vyama feki ambavyo vimejaa rundo tanzania na tuvikemee !
thats ok ! we can give ccm a head start ! sure, why not ! anza ! na tutajimwaga kwa wingi kuchangia..
...Soma previous post ya Ben ambaye amenisaidia church work (true visual) ya CCM.
Na ufeki huu wa CCM ndio unaopelekea vyama Makini vionekane havina maana kwani havishabikii sera potofu za kimazingaombwe za CCM...
Then Mkuu Kada jitahidi kupunguza matumiza ya PR za enzi za Mohamed Ally... Yaani usidhani kumtukana mtu ili kumpandisha jazba halafu uweze kupindisha mada humu...... shekhe tafuta mbinu mbadala