Vyama vya siasa feki Tanzania

 
 
Mheshimiwa Ben.... nashukuru mkuu
Sisi tuna POINTS, wao wana JAZBA
 
quite a good discussion, keep it up.
Lakini kwa kuwa hamtakubaliana sisi tutapigia filimbi ya kumaliza mjadala.
Sera: Kwa ufupi vyama vyote sawa kwa uzuri,
utekelezaji: CCM feki kwa utekelezaji, Wengine hatujawapima hatuwezi kusema (tunataka kujaribu)
Vionngozi: ccm feki, serikalini, feki kamati kuu ya chama, wengnine wachache, angalao kamati kuu za chama chao.
utashi: ccm wapo wachache, wengine wapo wengi.
 

...samaki mmoja akioza......
 
Amefisadi nini wewe Mapambano?
 
 
nilifikiri utaanza kuichambua ccm kama ulivyoahidi mzee !

... Mkuu nadhani umesoma post ya Ben ambayo ameelezea how fake CCM is, ambapo nilipokuwa naingia online niweze kuchangia nikaona tayari someone alikuwa ana-read ktk akili zangu....

Bajet ambayo serikali ya ccm wanaiandaa ni feki kwani haijawahi hata siku moja kukidhi matakwa ya hali halisi tofauti na inavyopigiwa debe (tupu) ktk kuiwasilisha... Ufeki mwingine ktk sera, chama kinatoa ahadi ya kuongeza ajira milion lakini in reality hakuna hata hayo maandalizi ya hata mazingira ya hizo ajira... bado wapishi ktk restaurant za bongo ni trespasser (wageni) ukiachilia mbali ajira ktk mashirika ambazo zinashikwa na wageni ilhali kuna watanzania wamebobea ktk fani hizo na kuzidi...Ufeki ktk mipango na ushirikishaji jamii ambapo kila kukicha unasikia biff kibao kati ya wananchi dhidi ya serikali inayowalazimisha kuhama maeneo wanayowapora ili wapewe wawekezaji halafu hata hiyo fidia ni kiduchu au huko ambako wananchi wanapaswa kuhamia utakuta vigogo (magogo) wameshawahi kujinyakulia maeneo... Angalia ccm inavyowakumbatia machinga kipindi cha uchaguzi na ahadi lukuki lakini ni vita baada ya matokeo kutangazwa....
Viongozi wote waliojiuzulu kwa ujasiri wa kifisadi ni viongozi waandamizi ktk chama ambapo pamoja na kujiuzulu kwa umma bado wanaonekana safi mbele ya chama, je utaniambia hiki ni chama makini kweli????

Ni mengi ila kwa hayo machache yanaweza kukupa picha ya mahala uliposimama...

Kuhusu kutukana ninaamini nilighafilika, haujawahi kunioffend and accept my appology
 

tupo pamoja mzee, hamna ubishi hapo ! tunaendelee na kazi, kazi na dawa yakhe !
 
Vyama feki ni vile ambavyo vinajua kuwa havina uwezo wala mikakati ya kuongoza nchi lakini kila siku wanapiga kelele za kujifanya wanaomba dhamana ya kuongoza nchi.
Kwa Tanzania ya sasa vyama vyote vya upinzani isipokuwa CUF upande wa visiwani ni FEKI. Hakuna hata chama kimoja kinachoamini kuwa kitapata dhamana ya kuongoza nchi anytime soon na wala hakuna chama chenye mikakati ya kweli ya kisera na human resourse ya kuongoza nchi.
 

Mzee Zemarcopolo,
umesahau kwamba kuna ile kitu inaitwa "RUZUKU" ambayo hutolewa kila mwezi kwa vyama vya siasa nchini....nafikiri "wazee" hupata mkwasu wa kupiga sop sop si unajua tena wengine wamekimbia shule na biashara inaenda kombo....sasa bila ya siasa sijui watakula wapi !
 

Na huo ndio hapa ninauita u- FEKI.
 
tupo pamoja mzee, hamna ubishi hapo ! tunaendelee na kazi, kazi na dawa yakhe !

Hongera kwa kujaribu uungwana mkuu!


Shallow! shallow analysis! Mkuu kwanini msiongelee u-feki wa hivi vyama kwa hoja? Mbona mnatufanya sisi wanafunzi wa nursery? Kama uwezo wako wa kuchambua ufeki wa vyama unaishia hapo tu basi hii ni failure ya karne ndani ya CCM hata wale wanachama wao wasomi wako shallow kiasi hiki ku-analyse mambo? Sasa kwa primary school drop outs kama akina MAkamba itakuaje? Ama kweli ndio maana Makamba wakampa ukulu,maanake walimulika hata wanazuoni watunga sera humo ndani wakaona empty kabisa.


Na huo ndio hapa ninauita u- FEKI.


Ha ha ha! Teh teh teh! Duh1 Mkuu huo u-shallow hapo juu ndio mlikua mmeahidi eti 'tuanze kuchambua vyama feki Tanzania?.

Again, Shallow, shallow, shallow,shallow! Mkuu usinivunje mbavu!
 

Mbona hata hiyo CCM ni chama feki kinawadanganya sana wananchi na kuwapumbaza waamini kuwa ni chama bora pekee kumbe uozo mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…