Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
thats ok ! we can give ccm a head start ! sure, why not ! anza ! na tutajimwaga kwa wingi kuchangia..
...Soma previous post ya Ben ambaye amenisaidia church work (true visual) ya CCM.
Na ufeki huu wa CCM ndio unaopelekea vyama Makini vionekane havina maana kwani havishabikii sera potofu za kimazingaombwe za CCM...
Then Mkuu Kada jitahidi kupunguza matumiza ya PR za enzi za Mohamed Ali... Yaani usidhani kumtukana mtu ili kumpandisha jazba halafu uweze kupindisha mada humu...... shekhe tafuta mbinu mbadala