Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Katika uhalisa ndani ya taifa letu chama tawala ndio chama chenye nguvu kuliko vyama vingine ambapo Mgawanyiko huu wa sehemu mbili yani dhaifu na nguvu unaweza kuondoa demokrasia, usawa na haki.
Hii ni tofauti na vyama vya siasa vilivyopo Marekani, ambapo huko vyama. Vyote vina usawa hata kama kimoja kikiwa madarakani vyote vina nguvu na sauti kwenye taifa hali inayopekea kila chama kupata haki na usawa hata kwenye chaguzi za nchi lakini hii ipo tofauti hapa Tanzania.
Katika uhalisia Tanzania chama tawala ndio kina nguvu kuliko vyama vingine hali inayoweza kuchangia kusiwepo na usawa ikiwemo kwenye chaguzi.
Kwa hiyo Ili tupate uchaguzi wa haki na wa kidemokrasia tunahitaji kwanza kutafuta usawa wa vyama vya kisiasa haijalishi kipo madarakani au hakipo madarakani hii ni muhimu kwa afya ya demokrasia yetu na hii ndio haki.