PreGE2025 Vyama Vya Siasa Tumieni Majukwaa yenu ya kisiasa kuhubiri kuhusu mazingira

PreGE2025 Vyama Vya Siasa Tumieni Majukwaa yenu ya kisiasa kuhubiri kuhusu mazingira

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
wakuu

Ivi karibuni kumekuwa na mikutano ya vyama siasa ila sijasikia kuhusu mazingira?

Hawa akina Heche,Makala,wasira na Lema wanaosema kuhusu ajira,elimu,na barabara na afya wanajua chochote kuhusu mazingira?

Hawajui kwamba utekelezaji wa mambo hayo yanahitaji mazingira hawasemi kuhusu jinsi ya kulinda vyanzo vya maji, hawasemi kuhusu misitu au elimu yao ndogo? kuhusu mazingira. Hata wale wa sera ya ubwabwa hawajui kuwa ubwabwa unaliwa katika mazingira.

Naona kabisa suala la mzingira limeachwa nyuma sana na hawa viongozi wetu majukwaani ni mwendo wa Kauli za NO Reforms NO election" na "OCTOBER TUNATIKI" ili october utiki lazima kuwe na mazingira salama,hewa safi kupitia miti ambayo inapatikana katika mazingira yetu vilevile ili udai reforms ni lazime kuwe na amani pia mazingira safi na salama.


Ni muhimu kwa vyama siasa kubadili upepo kwenye kampeni za uchaguzi ili kulinusuru taifa letu dhidi ya majanga makubwa kama mafuriko, ukame na momonyoko wa ardhi.

​
 
No reform No Election imebeba agenda zote ikiwemo mazingira ndani yake
 
Back
Top Bottom