Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wakati mwingine wanahofia haki kuporwa mahakamani.Cha msingi ipatikane katiba mpya itakayoweka uwanja sawa kwa wtz wote.Tanzania ina katiba inayoruhusu uwepo wa vyama vya upinzani. Katiba ipo wazi imeeleza majukumu ya vyama vya upinzani ikiwa pamoja na namna ya kufanya siasa zake. Pia imeeleza majukumu ya jeshi la polisi kwenye mfumo wa vyama vingi.
Kwa sasa vyama vya upinzani vimezuiliwa kufanya mikutano ya hadhara na ya ndani mpaka jeshi la polisi litake. CCM ndio kinafanya mikutano kitakavyo na hakizuiliwi na Jeshi la Polisi.
Ushauri kwa vyama vya upinzani
Nadhani ni wakati sahihi wa kufungua kesi ya kikatiba ya kulizuia Jeshi la Polisi kuzuia mikutano yenu badala yake jeshi lifanye majikumu yake kama yalivyo kwenye katiba.
Si wanasheria tu, kila msomi na asiye msomi ni asusa wa CCM na serekali yakeMimi nao wadharau Ni wanasheria wa nchi hii yaani wamezubaa Sana pamoja na usomi wao.
Lakini wengine pamoja na elimu zetu,uwezo wa kisheria hatunaSi wanasheria tu, kila msomi na asiye msomi ni asusa wa CCM na serekali yake
All are victims......,
Wakati mwingine mtu unafungua kesi ili Mahakama iweke wazi msimamo wake kuhusu jambo fulani. Hata kama hautashinda ulimwengu utatambua ukweliKwenye mahakama gani? Tanzania tuko kwenue mfumo wa chama kimoja huku katiba tutaitumia uchumi ukistawi!
Wakati mwingine mtu unafungua kesi ili Mahakama iweke wazi msimamo wake kuhusu jambo fulani. Hata kama hautashinda ulimwengu utatambua ukweli
Amandla...
Ndugu binafsi siwalaumu saana wanasheria, hakuna msomi atakaye tetea/tendea haki taaluma yake mbele CCM na serekali yake. Hukustaajabu Dr. Ku promote nyungu?Lakini wengine pamoja na elimu zetu,uwezo wa kisheria hatuna
Tatizo tulilonalo ni katiba ambayo inalipa jeshi la Polisi mamlaka ya kusimamia hukumu! Hata kama litashindwa mahakamani nani at-enforce hiyo hukumu?Tanzania ina katiba inayoruhusu uwepo wa vyama vya upinzani. Katiba ipo wazi imeeleza majukumu ya vyama vya upinzani ikiwa pamoja na namna ya kufanya siasa zake. Pia imeeleza majukumu ya jeshi la polisi kwenye mfumo wa vyama vingi.
Kwa sasa vyama vya upinzani vimezuiliwa kufanya mikutano ya hadhara na ya ndani mpaka jeshi la polisi litake. CCM ndio kinafanya mikutano kitakavyo na hakizuiliwi na Jeshi la Polisi.
Ushauri kwa vyama vya upinzani
Nadhani ni wakati sahihi wa kufungua kesi ya kikatiba ya kulizuia Jeshi la Polisi kuzuia mikutano yenu badala yake jeshi lifanye majikumu yake kama yalivyo kwenye katiba.