Uchaguzi 2020 Vyama vya upinzani Tanzania kuweni makini na zoezi hili linaloendelea huko mitaani, hapa kuna wizi wa kura

Uchaguzi 2020 Vyama vya upinzani Tanzania kuweni makini na zoezi hili linaloendelea huko mitaani, hapa kuna wizi wa kura

akili tunazo za kutosha nyie ndiyo mnahadaiwa na wachumia tumbo wenu kina mbowe na huyo shoga wenu lissu na myie mnakubali tu wenzenu wanakula tu hamna akili hata ya kuvukia barabara
umefikisha umri wa miaka 18 ?
 
Atakaye amini haya mavi na yeye ni mavi tu
Jamani kama video inavyojieleza, wakazi wa Mwananyamala wanakusanyana kwenye ofisi za serikali ya mtaa, wanapigwa picha na kulipwa shilingi 5,000 kila mmoja. Picha hazijulikani ni za nini. Na kwa siku wanalipwa hadi watu 100 mpaka 120. Hapa kuna mchezo wa uchaguzi wa 2020. Vyama vya upinzani viingilie kati / vihoji hili zoezi. Hao wapiga picha na Mwenyekiti wa mtaa wabanwe vizuri hizo picha ni za nini!! Haya si maandalizi ya kura fake haya jamani?!

Fatilia vizuri hii video mjionee tulikofikia sasa kama nchi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa 'chombo cha habari' kinafika hadi eneo la tukio halafu kinaondoka bila ya kuwa na taarifa? Tukio lenyewe linafanyika katika ofisi ya serikali ya mitaa, wameshindwa hata kuwauliza viingozi kwenye hiyo ofusi? Wameshindwa hata kuwauliza hao wanaopiga picha?
Inawezekana nao wamepata bahasha yao.
 
Back
Top Bottom