Vyama vya upinzani vijifunze ulaya na Marekani kunapokuwa na swala la kitaifa wamoja na Chama tawala
Mfano nchi za ulaya na marekani wakiamua kuinyonya Africa au nchi ikishambuliwa vyama vyote tawala na upinzani huwa kitu kimoja
Pia ikitokea mfano kuna mkutano mkubbwa wa kimataifa unafanyika kwao hoteli zao wakijua zitajaza watu huwa kitu kimoja ndio maana mfano Iran imewekewa vikwazo lakini Raisi wao na ujumbe wao huruhusiwa kuhudhuria vikao vya umoja wa mataifa
Sisi mfano unakuta mkutano mkubwa unafanyika nchini mahoteli yanajaza wajumbe hayo mahoteli yanamilikiwa na wanachama wa vyama vyote au yana wafanyakazi wa vyama.vyote
Pia wanachama wa vyama vyote watafaidi ujio wa ugeni wa kimataifa
Hivyo kuwapa hata uwezo wa kuchangia vyama vyao
Vyama vya upinzani wajifunze kuwa upinzani sio maana yake kupinga kila kitu ni kuwa tu na sera mbadala lakini kwenye issue serious za kitaifa lazima kuwa wamoja