Huwa vikiongea wanangaza mapema agenda wataongelea nini
Hapa kwetu vyama vya upinzani ni aibu wanaita press conference bila hata kutaja agenda
Wana utoto na ujinga mwingi hata hawajui kanuni za vikao
Ni aibu kwa kweli kwa proffession ya uandishi wa habari Tanzania
Ndio maana kuna wakati ilipendekezwa wawe na digrii
Hiyo inakuhusu nini wewe . Kila chama kina uhuru wa kuongea mambo yao ilimradi wanafuata sheria. Huwezi kupangia watu cha kuongea. Yaani Chama kiweke agenda zake kwa serikali kabla ya mkutano kwa sheria zipi.
Nyie vijana mna mazoea ya kunyanyashwa na kufanya machawa hata haki zetu hamzijui. Cha ajabu nyie ndiyo wa kwanza kujididimiza wenyewe halafu mna kuwa wakwanza kulalamikia umasikini wenu!. Kuna shida gani watu kuongea tena kwenye ofisi. Je wangefanyia nyumbani !