A
Anonymous
Guest
Vyama vya USHIRIKA vinavyonunua mazao Mkoa wa Lindi hasa Wilaya ya Kilwa wafanyakazi wake wanatabia ya kuzungusha malipo ya wakulima kwa faida zao binafsi kwa vigezo vya kuwadanganya Wakulima kuwa account namba zao zimekosewa au majina hayaendani na yaliyopo kwenye account ya benki ya kufanyia malipo vyama hivyo vya msingi mfano TAPWA na SISI Kwa SISI.
Malipo ya ufuta wakulima wameanza kuuza toka tarehe 8/06/2026 kwenye chama kinachoitwa SISI kwa SISI na wakulima wengine toka 9/06/2026 chama kinachoitwa TAPWA hadi sasa tayari imepita minada 3 lakini wengine hawajalipwa
Kawaida mnada unafanyika kila Jumamosi toka siku ya kutangazwa na baada hapo siku ya Jumatatu katika wiki ndipo unaanza mchakato wa malipo hadi siku ya Ijumaa ambapo Ikifika Jumamosi unakuwa mnada mwingine.
Kwa hiyo mnada wa kwanza ulikuwa tarehe 13/06/2026 mchakato wa malipo hadi tarehe 20/06/2026 kwa hiyo malipo yanatakiwa ndani ya siku 6 kwa kila mnada maana yanaanzia jumatatu hadi ijumaa
Mimi mwenyewe muhanga wa ilo nimeuza ufuta toka tarehe 8/06/2026 hadi sasa sijalipwa fedha yangu.
Pia soma ~ Mamlaka za Ushirika Lindi: Wakulima wa Ufuta wamelipwa, mwenye changamoto ya malipo awasiliane nasi