ThnkingAloud
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 546
- 564
Vyama vya ushirika wa kuweka na kukopa punguzeni sherehe. Mnazo sherehe nyingi kuliko kubuni mikakati mbali mbali ya kuondokana na umaskini.
Angalia mabenki wanavyowashangaa. Kila mwaka sherehe sijui jukwaa la ushirika la wapi, umoja wa afrika mashariki, umoja wa vyama vya afrika, umoja wa vyama vya ushirika duniani, n.k.
Na hilo ndilo tatizo la maskini. Maskini akipata kidogo tu anaongeza mke, anafanya sherehe. Hatuwezi kuwa matajiri kupitia ushirika tukiendelea na michezo inayofanyika kwa sasa.
Mabenki sijawahi kusikia wanazo sherehe nyingi kama vyama vya ushirika wa kuweka na kukopa. Utafikiri ni sherehe za harusi. Tumieni na maarifa na mitandao mliyonayo kukuza na kulea mitaji ya wanachama. Mfyuuuu. Na hii tutasingizia CCM?