Vyama vya Wafanyakazi Vimekufa wala Havitafufuka....

Vyama vya Wafanyakazi Vimekufa wala Havitafufuka....

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Kuna kipindi Vyama vya Wafanyakazi vilikuwa vina nguvu sana na ndio vilikuwa vinaset agenda; lakini ni muda sasa kutokana na wahitaji wa ajira kuwa wengi kuliko uhitaji vyama hivi havina meno tena. Swali linakuja ni vipi Vyama hivi vinaweza kuadapt ? Je ifike wakati badala ya kuwa na Vyama vya Wafanyakazi kuwe na Vyama vya Wamiliki ambao ni Wafanyakazi ?

Yaani badala ya kulalamika na kudai stahiki muungane na kile mnachotengeneza mkitengeneze mkiuze na mpate faida kwenye Vyama vyenu

1718613902562.png



View: https://youtu.be/jE5jwd3P6VI?si=YoLrQ_F081xCfy3e
 
Back
Top Bottom