Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Watu wa aina hii ndiyo tunawaita Mapopoma.Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema kilio cha kodi kimekuwa kikubwa kwa wafanyakazi na wamekuwa wakiiomba serikali ishushe kodi.
Soma Pia: TUCTA wamtunuku Rais Samia tuzo ya shukurani kwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi
Wafanyakazi wanakatwa kodi ambayo haina ubishi, kadri mshahara unakuwa mkubwa kodi inakatwa vilevile. Lakini tunakatwa haina mjadala kwa sababu inakatwa juu kwa juu huitwi ku "burgain" wala kujadiliana kwahiyo tunajiona kama tunalipa kodi kubwa, kwa sababu wenzetu wafanyabiashara kuna mazingira wanaitwa kwa ajil ya mijadala mpaka wanawekewa viwango fulani ambavyo viko palepale. Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya
Chawa Promax.Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema kilio cha kodi kimekuwa kikubwa kwa wafanyakazi na wamekuwa wakiiomba serikali ishushe kodi.
Soma Pia: TUCTA wamtunuku Rais Samia tuzo ya shukurani kwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi
Wafanyakazi wanakatwa kodi ambayo haina ubishi, kadri mshahara unakuwa mkubwa kodi inakatwa vilevile. Lakini tunakatwa haina mjadala kwa sababu inakatwa juu kwa juu huitwi ku "burgain" wala kujadiliana kwahiyo tunajiona kama tunalipa kodi kubwa, kwa sababu wenzetu wafanyabiashara kuna mazingira wanaitwa kwa ajil ya mijadala mpaka wanawekewa viwango fulani ambavyo viko palepale. Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya
Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema kilio cha kodi kimekuwa kikubwa kwa wafanyakazi na wamekuwa wakiiomba serikali ishushe kodi.
Soma Pia: TUCTA wamtunuku Rais Samia tuzo ya shukurani kwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi
Wafanyakazi wanakatwa kodi ambayo haina ubishi, kadri mshahara unakuwa mkubwa kodi inakatwa vilevile. Lakini tunakatwa haina mjadala kwa sababu inakatwa juu kwa juu huitwi ku "burgain" wala kujadiliana kwahiyo tunajiona kama tunalipa kodi kubwa, kwa sababu wenzetu wafanyabiashara kuna mazingira wanaitwa kwa ajil ya mijadala mpaka wanawekewa viwango fulani ambavyo viko palepale. Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya
Walisema hawana shida , tucta chama cha hovyoHUYU ALISEMA SAMIA HATUMDAIIII
NakaziAWalisema hawana shida , tucta chama cha hovyo
Walie hata machozi ya damu!!Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema kilio cha kodi kimekuwa kikubwa kwa wafanyakazi na wamekuwa wakiiomba serikali ishushe kodi.
Soma Pia: TUCTA wamtunuku Rais Samia tuzo ya shukurani kwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi
Wafanyakazi wanakatwa kodi ambayo haina ubishi, kadri mshahara unakuwa mkubwa kodi inakatwa vilevile. Lakini tunakatwa haina mjadala kwa sababu inakatwa juu kwa juu huitwi ku "bargain" wala kujadiliana kwahiyo tunajiona kama tunalipa kodi kubwa, kwa sababu wenzetu wafanyabiashara kuna mazingira wanaitwa kwa ajil ya mijadala mpaka wanawekewa viwango fulani ambavyo viko palepale. Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya
Tanzania hakuna vyama vya wafanyakazi, kimsingi hivyo vinavyojiita vyama vya wafanyakazi vipo kwa ajili ya kumsaidia mwajiri kuwakandamizi wafanyakazi/waajiriwa kwasababu hakuna wanaloweza kufanya kama mwajiri wa wafanyakazi hataki kulifanyaRais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema kilio cha kodi kimekuwa kikubwa kwa wafanyakazi na wamekuwa wakiiomba serikali ishushe kodi.