Vyama vya wafanyakazi vyalia na ongezeko la kodi

Vyama vya wafanyakazi vyalia na ongezeko la kodi

Kodi ni himilivu na ndio maana mishahara inalipwa kwa wakati. Mama hana deni tuache kumchafua mama 😂
 
Nchi hii ni ngumu sana
huyu pimbi si juzi tu alikuwa anaimba mapambio kwa bosi wake bi chura hana deni kwao?
Sasa hii MILIO inatokea wapi!
 
Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema kilio cha kodi kimekuwa kikubwa kwa wafanyakazi na wamekuwa wakiiomba serikali ishushe kodi.

Soma Pia: TUCTA wamtunuku Rais Samia tuzo ya shukurani kwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi

Wafanyakazi wanakatwa kodi ambayo haina ubishi, kadri mshahara unakuwa mkubwa kodi inakatwa vilevile. Lakini tunakatwa haina mjadala kwa sababu inakatwa juu kwa juu huitwi ku "bargain" wala kujadiliana kwahiyo tunajiona kama tunalipa kodi kubwa, kwa sababu wenzetu wafanyabiashara kuna mazingira wanaitwa kwa ajil ya mijadala mpaka wanawekewa viwango fulani ambavyo viko palepale. Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya

Kwani sindiyo waliosema hawana madai kwa mwajiri wao amaa sasa vilio ni vya nini tena?
 
Back
Top Bottom