Vyama vya wafanyakazi vyalia na ongezeko la kodi

Kodi ni himilivu na ndio maana mishahara inalipwa kwa wakati. Mama hana deni tuache kumchafua mama πŸ˜‚
 
Nchi hii ni ngumu sana
huyu pimbi si juzi tu alikuwa anaimba mapambio kwa bosi wake bi chura hana deni kwao?
Sasa hii MILIO inatokea wapi!
 
Kwani sindiyo waliosema hawana madai kwa mwajiri wao amaa sasa vilio ni vya nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…