Vyama vya wanaume wabahili Tanzania na Kenya waanzishe Marathon

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Naomba nitoe wazo kwa pande pindi mbili za uwabata(umoja wa wanaume bahili tanzania na uwabake(umoja wa wanaume wabahili kenya).

Katika kukuza ushirikiano baina ya hizi asasi mbili ambazo hazijasajiliwa rasmi kwamba kama kuna taasisi ina uwezo kdg basi naomba ituandalie marathon ya kibabe kutoka arusha mpaka nairobi yenyewe ideal na kutunulilia msosi tukiwa njiani.maana nimejiuliza.

Kama kuna watu wamefanikiwa kutoka kigoma mpaka dar kwa mtaji wa miguu tu basi na sisi hatuwezi kushindwa kutoka Arusha mpaka Nairobi na tukifika Nairobi tunarudi na uwabake mpaka Arusha pale Nairobi tutapumzika siku tatu tukizurura kidogo tuone mji wa nairobi isitoshe members wa hili chama wengi ni wana wasio na kazi bado kuna michongo wanaisikilizia so tuna muda wa bure kabisa sijui tutakwama wapi?

Member aliye kuwa interested na hii ishu anicheki serious tuone namna gani tuta organize tufanikiwe.mnaweza mkaona kama utani lakini ndo tutapata kick unashangaa tunaalikwa hata ikulu.
 
Kwa ubahili tulionao sidhani kama itafanikiwa Kama hela ya kusajili chama cha uwabata tu ilitushinda na ilikuwa alfu ishirini lakini mpk sahivi imetolewa mia saba! Hebu acha ndoto mkuu.

#UWABATA FOR LIFE.
 
You can't be serious..! Hicho chama cha kubadilishana hirizi na kutembelea ungo mixer kuroga mtu anaota mapunye..[emoji1787]
Hiki ndio chama cha heshima sasa
 
Hiki ndio chama cha heshima sasa
My God..!

Chama cha mirogo kugeuka kuwa chama cha heshima,heshima ipi mtu unaingia kwa mtu uchi anaanza kuzomea mara agonoke hiyo ndo heshima Kaka..??😂
 
My God..!

Chama cha mirogo kugeuka kuwa chama cha heshima,heshima ipi mtu unaingia kwa mtu uchi anaanza kuzomea mara agonoke hiyo ndo heshima Kaka..??[emoji23]
Hizo ni freetime tuu hata wewe ukiwa free huwa unajiliwaza na yako.. Tuangalie ushirikina katika picha pana zaidi..Kila mtu akipata muda wa kufanya upuuzi anafanya kaka
 
Hizo ni freetime tuu hata wewe ukiwa free huwa unajiliwaza na yako.. Tuangalie ushirikina katika picha pana zaidi..Kila mtu akipata muda wa kufanya upuuzi anafanya kaka
Ha ha ha! Na unajua kutetea cheo chako..😂
Mi Sina usemi we roga uwezavyo tu..!
 
Ha ha ha! Na unajua kutetea cheo chako..[emoji23]
Mi Sina usemi we roga uwezavyo tu..!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…