ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Naomba nitoe wazo kwa pande pindi mbili za uwabata(umoja wa wanaume bahili tanzania na uwabake(umoja wa wanaume wabahili kenya).
Katika kukuza ushirikiano baina ya hizi asasi mbili ambazo hazijasajiliwa rasmi kwamba kama kuna taasisi ina uwezo kdg basi naomba ituandalie marathon ya kibabe kutoka arusha mpaka nairobi yenyewe ideal na kutunulilia msosi tukiwa njiani.maana nimejiuliza.
Kama kuna watu wamefanikiwa kutoka kigoma mpaka dar kwa mtaji wa miguu tu basi na sisi hatuwezi kushindwa kutoka Arusha mpaka Nairobi na tukifika Nairobi tunarudi na uwabake mpaka Arusha pale Nairobi tutapumzika siku tatu tukizurura kidogo tuone mji wa nairobi isitoshe members wa hili chama wengi ni wana wasio na kazi bado kuna michongo wanaisikilizia so tuna muda wa bure kabisa sijui tutakwama wapi?
Member aliye kuwa interested na hii ishu anicheki serious tuone namna gani tuta organize tufanikiwe.mnaweza mkaona kama utani lakini ndo tutapata kick unashangaa tunaalikwa hata ikulu.