Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Nakumbusha tu kuwa,
Kipindi hiki cha Kiangazi kitumike kutambua vyanzo vya maji visivyo kauka.
Hii itaepusha kuwekeza fedha kwenye vyanzo vya maji vyenye maji ya msimu.
Nashauri pia kuwepo na uhamasishaji wa kuotesha miti ya maji kwenye vyanzo vya maji hata kwa zile chemchem Ndogo ndogo na kampeni hiyo iendane na kuzuia shughuli za kuadhiri vyanzo hivyo. Kapeni hii ipigwe hasa kwenye ngazi ya vijiji na miji inayokua
Nimeandika hivyo kwa sababu, kila mwaka vyanzo vya maji vingi sana vidogo vidogo vinakauka na bila hatua ya kuvinusuru, maji hayatakaa yatoshe