Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Sijaona msanii kama huyu duniani, almost five years jela lakini anakimbiza industry ya dancehall vibaya, najua wabongo wengi hawasikilizi dancehall lakini kama unataka kumjua huyu jamaa ni pm au post namba zako nikuweke kwenye group whatsapp then utapata flavour za huyu jamaa na wasanii wengine kama popcaan, mavado, qq,t ommy lee n.k....thanks