Vyeo kama hivi katika Nchi yetu bado vina ulazima wowote ?

Zanzibar kulikuwa hkn manaibu makatibu wakuu jana mwinyi amewarejesha tena manaibu makatibu wakuu

Ujinga snaa hawana kaz za kufanya kaz kuendeleza fitina na majungu
 
matumizi mabaya ya resources na ni mzigo mzito kwa watanzania kuwalisha na kuwatunza hawa jamaa.
 
Na vyeo vyote hivyo, madaraka ya kumuondoa au kumuweka mtu kwenye cheo fulani anayo mtu mmoja..!!!
 
No. 1-3 wote ni wateule wa raisi. Hata U DED JPM kaamua kutuwekea watia nia wa ubunge walio shindwa na wengi hawatoki sehemu hizo.
 
Yap ni kweli
 
Mbinu thabiti ya kuongeza ajila. Nyie si ndiyo mnapiga kelele ya ajila!!
 
Zanzibar kulikuwa hkn manaibu makatibu wakuu jana mwinyi amewarejesha tena manaibu makatibu wakuu

Ujinga snaa hawana kaz za kufanya kaz kuendeleza fitina na majungu
Ni kutafutiana ulaji tu
 
Mbinu thabiti ya kuongeza ajila. Nyie si ndiyo mnapiga kelele ya ajila!!
Sio kihivyo maana DED mmoja au Naibu waziri Mmoja unaweza ajiri Manesi zaidi 7
 
Hata mikoa Tanzania inabidi ibaki 22 tu.
Tanzania bara mikoa 20 na Zanzibar mikoa 2 tu,
tutapunguza sana gharama.
Mawaziri na wizara zisizidi 12 kwa nchi yetu kuna mambo mengi yanatakiwa yawe na idara tu zinazosimamiwa kisheria mfano hakuna haja ya wazara ya mazingira,wizara ya uvuvi na maji sijui na umwagiliaji hayo mambo yawekewe idara na wataaalam wakusimamia kwisha kazi.
Hakuna haja ya manaibu waziri,mawaziri na makatibu wa wizara wanatosha.
Hakuna haja ya wakuu wa mikoa mikoa iwe na magavana tu kwa iyo tuwe na magavana 22 tena wakuchagaliwa kila muhula.
Wilaya zipunguzwe.
Wabunge wasizidi 120 nchi hii sio kubwa kihivyo,wabunge na madiwani wa viti maalumu na wakuteuliwa ni upotezaji wa muda na rasilimali tu hakuna tija.


Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kudos
 
Ubunge viti maalum unaineemesha sana CCM kuliko tunavyojua, ni sawa na mtu kulipwa mshahara mara mbili.
 
Reactions: RNA
Nchi Maskini ila viongozi wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…