Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
hata kusoma hajasoma, anataka kujua vyeo wakati hata buku hajaanza kusoma. huyu naona anataka kukatishwa tamaa. sheria ni course ya wanaume nguli, sio sawa na sociology kwa walemba kucha na wapaka lip stick.

Aisee! kama ni hivyo basi siku hizi mambo yamebadilika.
Law ni Ngumu Bt inatemeana na chuo...... ukisoma UDOM na kwngineko law n rahis
bt law iko mzumbe.....
Karibu mzumbe

Kweli kaka. Aje Mzumbe ambako semister ya kwanza tu robo darasa inadisco. Sheria imelala pale
hata kusoma hajasoma, anataka kujua vyeo wakati hata buku hajaanza kusoma. huyu naona anataka kukatishwa tamaa. sheria ni course ya wanaume nguli, sio sawa na sociology kwa walemba kucha na wapaka lip stick.
Law ni Ngumu Bt inatemeana na chuo...... ukisoma UDOM na kwngineko law n rahis
bt law iko mzumbe.....
Karibu mzumbe
Law ni Ngumu Bt inatemeana na chuo...... ukisoma UDOM na kwngineko law n rahis
bt law iko mzumbe.....
Karibu mzumbe
Sheria sio ngumu, ukijua kukariri basi umepita... Ngumu Engineering, Bsc Maths, BSc Physics , BSc Chemistry & Biology.. course zingine mbwembwe tu.