Vyeo na Ngazi ya Elimu Kwa Masomo ya Sheria

Vyeo na Ngazi ya Elimu Kwa Masomo ya Sheria

Anatakiwa akasome chuo ambacho sheria imeamka, dunia ya sasa hatulali ninyi vijana!
Unasifia chuo kwa kudisco!? Nani alikuambia ubora wa chuo na kozi hupimwa kwa kufail !?

My take.
Kama kuna mwanafunzi anahitaji kuwa bora katika field yoyote anayoipenda basi hana budi kusoma kwa bidii na maarifa, hizi ngano za Vyuo hazitamfikisha popote.
Saaafi mkuu
 
haya we kariri tu vifungu vya sheria afu uone km utafaulu..sheria unatakiwa uisome vizuri uielewe then uichambue la sivyo hamna kitu kwahyo tusidanganyane eti sheria ni kukariri tu
 
Naomba kuuliza:
kwa mtu anayesoma>
1.certificate of law

2.diploma of law

3.bachelor of law

a)anakuwa na cheo gani?

b)anasoma kozi namba 1,2 na 3 kwa muda gani?

c)ni kipi kima cha chini cha mshahara kwa kila mhitimu kwa kozi 1,2, na 3?

d)nahitaji ufaulu gani kusoma kozi 1,2 na 3?

"kwa kuanza na upande wa mda ndgu mtoa mada n kwamba "certficate in law(C.L)" tena siyo "of law" n mwaka 1, "diploma in law"(D.L), not diploma of law n miaka 2, LL.B(Legum Baccalaureus) n miaka 3 na ila kuna baadh ya vyuo huenda had miaka 4!, vyeo kiuhalisia n vgumu kutaja coz hutegemea hasa huyo mtu mwenye hizo quarfcation ameomba na anafanya kaz idara ipi, mfano mahakaman C.L huwa court clarcks, D.L huwa law secretaries zaman primary courts magistrates, LL.B huwa magistrates/mahakim etc....upande wa malipo it's not that easy to substentiate!
On the other side! juu ya ufaulu gan unahtajka kusoma course husika ni vyema ukatembelea "TCU gide book" kwa LL.B, C.L na D.L pitia vipeperushi vya vyuo vitoavyo course hizo au tembelea websites zao for more details!
 
Back
Top Bottom