Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Huwa wanatumia statutes tofauti kila chuo?
Hahahah umenichekesha sana nameless girl
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa wanatumia statutes tofauti kila chuo?
Hivii nani anawadanganya kwamba kudisco,kusup, ndio ubora wa shule?Kweli kaka. Aje Mzumbe ambako semister ya kwanza tu robo darasa inadisco. Sheria imelala pale
Saaafi mkuuAnatakiwa akasome chuo ambacho sheria imeamka, dunia ya sasa hatulali ninyi vijana!
Unasifia chuo kwa kudisco!? Nani alikuambia ubora wa chuo na kozi hupimwa kwa kufail !?
My take.
Kama kuna mwanafunzi anahitaji kuwa bora katika field yoyote anayoipenda basi hana budi kusoma kwa bidii na maarifa, hizi ngano za Vyuo hazitamfikisha popote.
Mzumbe! Nenda udsm
Naomba kuuliza:
kwa mtu anayesoma>
1.certificate of law
2.diploma of law
3.bachelor of law
a)anakuwa na cheo gani?
b)anasoma kozi namba 1,2 na 3 kwa muda gani?
c)ni kipi kima cha chini cha mshahara kwa kila mhitimu kwa kozi 1,2, na 3?
d)nahitaji ufaulu gani kusoma kozi 1,2 na 3?