Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
NI KAMA VILE JW ANAYEITWA PRIVATE, WE HAUNA CHEO UPO UPO TUMkuu hapo kwenye no 2 PC ni polisi asiye na cheo au ni polisi asiye na nembo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI KAMA VILE JW ANAYEITWA PRIVATE, WE HAUNA CHEO UPO UPO TUMkuu hapo kwenye no 2 PC ni polisi asiye na cheo au ni polisi asiye na nembo?
Yaani polisi wakuite kujiunga nao?!. Enhee ilikuwaje?.
Kuna watu waongo acha tu mkuuYaani polisi wakuite kujiunga nao?!. Enhee ilikuwaje?.
cheo dhmana broda, si unaona wanavyohenyesha watu?Vyeo vya mgambo
Kuna watu waongo acha tu mkuu
Tofautisha TISS na Police brotherINAWEZA KUWA KWELI, MY R.I.P FATHER ALINISIMULIA KUWA ANAFANYA KAZI ALIFUATWA MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL AJIUNGE NA TIS, ILA BOSI WAKE MAMA MTU MZIMA ALIMWAMBIA HIYO KAZI SIO NZURI KWA MAISHA YAKO, YOU ARE SO VERY YOUNG...MZEE AKAPIGA CHINI WITO WAO
Ni vema ukaeleza mafanikio yako baada ya kukataa hiyo kazi, unaweza kukuta sasa hivi wewe huna kazi bali ni mtu wa kutegemea vibarua na baadaye jioni jioni hivi hukosi maeneo ya mataputapu(chimpumu,dadii,kangara,mwisho saa sita,na nyingine zote kama zile zinazopatikana pale manzese kambi ya fisi)Ni kazi ambayo sintoweza kuifanya katika maisha yangu,,,,,nakumbuka wakati nimenaliza first degree waliniita kujiunga nao baada ya kufanya usaili,,,,lakini nafsi ilikataa kabisaaa nkawapotezea!
Tofautisha TISS na Police brother
Huo ni uongo police haiweze kufanya ivyo labda kama huajui mifumo ya police katika kuajiriSIO KWAMBA SIELEWI, HUWEZI KUJUA KUHUSU UKWELI WAKE MTO A COMMENT... TUSIMPINGE SANA
Mkuu ungeweka na alama za vyeo vyao.
Kwa mfano PC anakua na mbavu ngapi? Najua Inspector anakua na nyota tatu
hapana, n nyota moja ni inspector
bila picha uzi unapoa
Mkuu ungeweka na alama za vyeo vyao.
Kwa mfano PC anakua na mbavu ngapi? Najua Inspector anakua na nyota tatu
Wacha weee.Ni kazi ambayo sintoweza kuifanya katika maisha yangu,,,,,nakumbuka wakati nimenaliza first degree waliniita kujiunga nao baada ya kufanya usaili,,,,lakini nafsi ilikataa kabisaaa nkawapotezea!
Unoko na kwa waganga Sana.Hii kazi bila unoko sidhani kama utaiweza.