Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi letu. Nimeona niweke mtililiko kamili wa vyeo hivyo ili kuelewesha ni vyeo gani ambavyo havitumiki kwenye jeshi letu.
Kwenye mtililiko huu, vyeo nilivyowekea rangi nyekundu havitumiki Tanzania lakini vinaweza kuwa vinatumika katika nchi nyingine ambako pia unaweza kukuta wamevigeuza; kwa mfano kwa Urusi Colonel General yuko juu ya Major General. Nchi nyingine zinatumia majina tofauti kwa vyeo hivyo, kwa mfano China ambayo haina cheo cha Brigadier au Brigadier General inakitambua cheo cha Colonel General kama Senior Colonel; cheo hicho huko Brazil kinajulikana kama Division General.
Soma Pia: Mpangilio wa vyeo vya JWTZ. Mwenye nyongeza tujuzane

- Cadet officer
- 2nd Lieutenant
- Lieutenant
- Captain
- Major
- Major Colonel
- Captain Colonel
- Lieutenant Colonel
- Colonel
- Brigadier
- Brigadier General
- Colonel General
- Major General
- Captain General
- Lieutenant General
- General
- Field Marshall