Kwa uspesho gani ulionao?Hivi unaweza ukaingia jeshini na kupanda cheo moja kwa moja na kuwa Captain bila kupitia hivyo vyeo vitatu? Luteni 1, na 2
Zamani za Nyerere makada wa Chama jeshini walikuwa wanaweza kuruka vyeo, kwa mfano Nsa kaisi alipelekwa jeshini akiwa mkuu wa mkoa, hivyo alipomaliza mafunzo Monduli alianza na cheo cha Luteni Kanali moja kwa moja.Hivi unaweza ukaingia jeshini na kupanda cheo moja kwa moja na kuwa Captain bila kupitia hivyo vyeo vitatu? Luteni 1, na 2
Kaisi nasikia alifanya na kozi ya ukomandoo, rectify me if I am headless here!Zamani za Nyerere makada wa Chama jeshini walikuwa wanaweza kuruka vyeo, kwa mfano Nsa kaisi alipelekwa jeshini akiwa mkuu wa mkoa, hivyo alipomaliza mafunzo Monduli alianza na cheo cha Luteni Kanali moja kwa moja.
Kaisi alikuwa mwandishi wa habari kabla hajateuliwa kuwa mkuu wa wilaya nadhani ya Rungwe au ya Kyela hivi. Kulipotokea janga la panya kuharibu mazao wilayani pale, akaanzisha operesheni ya kupambana na panya hao kwa kununua kila mzoga wa panya unaoletwa kwakwe. Operesheni hiyo ya kununua mizoga ya panya ilifanikiwa sana kumaliza balaa hilo la Panya kwani raia waliwawinda panya kwa nguvu sana, ndipo Nyerere akampandisha kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora. Alipotoka Tabora alipelekwa jeshini nadhani ili awe mkuu wa mkoa wa Kagera kwa sababu alipotoka Monduli akawa mkuu wa mkoa wa Kagera akiwa Luteni Kanali kabla hajapandishwa tena kuwa Kanali kamili.Kaisi nasikia alifanya na kozi ya ukomandoo, rectify me if I am headless here!
NdioHivi unaweza ukaingia jeshini na kupanda cheo moja kwa moja na kuwa Captain bila kupitia hivyo vyeo vitatu? Luteni 1, na 2
#17 hicho cheo kipo Jwtz, sema hakuna afisa aliyewahi kutunukiwa kutokana na muundo.Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi letu. Nimeona niweke mtililiko kamili wa vyeo hivyo ili kuelewesha ni vyeo gani ambavyo havitumiki kwenye jeshi letu.
Kwenye mtililiko huu, vyeo nilivyowekea rangi nyekundu havitumiki Tanzania lakini vinaweza kuwa vinatumika katika nchi nyingine ambako pia unaweza kukuta wamevigeuza; kwa mfano kwa Urusi Colonel General yuko juu ya Major General. Nchi nyingine zinatumia majina tofauti kwa vyeo hivyo, kwa mfano China ambayo haina cheo cha Brigadier au Brigadier General inakitambua cheo cha Colonel General kama Senior Colonel; cheo hicho huko Brazil kinajulikana kama Division General.
Kuna swali?
- Cadet officer
- 2nd Lieutenant
- Lieutenant
- Captain
- Major
- Major Colonel
- Captain Colonel
- Lieutenant Colonel
- Colonel
- Brigadier
- Brigadier General
- Colonel General
- Major General
- Captain General
- Lieutenant General
- General
- Field Marshall
Soma Pia: Mpangilio wa vyeo vya JWTZ. Mwenye nyongeza tujuzane
Elimu,Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi letu. Nimeona niweke mtililiko kamili wa vyeo hivyo ili kuelewesha ni vyeo gani ambavyo havitumiki kwenye jeshi letu.
Kwenye mtililiko huu, vyeo nilivyowekea rangi nyekundu havitumiki Tanzania lakini vinaweza kuwa vinatumika katika nchi nyingine ambako pia unaweza kukuta wamevigeuza; kwa mfano kwa Urusi Colonel General yuko juu ya Major General. Nchi nyingine zinatumia majina tofauti kwa vyeo hivyo, kwa mfano China ambayo haina cheo cha Brigadier au Brigadier General inakitambua cheo cha Colonel General kama Senior Colonel; cheo hicho huko Brazil kinajulikana kama Division General.
Kuna swali?
- Cadet officer
- 2nd Lieutenant
- Lieutenant
- Captain
- Major
- Major Colonel
- Captain Colonel
- Lieutenant Colonel
- Colonel
- Brigadier
- Brigadier General
- Colonel General
- Major General
- Captain General
- Lieutenant General
- General
- Field Marshall
Soma Pia: Mpangilio wa vyeo vya JWTZ. Mwenye nyongeza tujuzane
Hakuna cheo kinachoitwa MSAKILA GENERAL?Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi letu. Nimeona niweke mtililiko kamili wa vyeo hivyo ili kuelewesha ni vyeo gani ambavyo havitumiki kwenye jeshi letu.
Kwenye mtililiko huu, vyeo nilivyowekea rangi nyekundu havitumiki Tanzania lakini vinaweza kuwa vinatumika katika nchi nyingine ambako pia unaweza kukuta wamevigeuza; kwa mfano kwa Urusi Colonel General yuko juu ya Major General. Nchi nyingine zinatumia majina tofauti kwa vyeo hivyo, kwa mfano China ambayo haina cheo cha Brigadier au Brigadier General inakitambua cheo cha Colonel General kama Senior Colonel; cheo hicho huko Brazil kinajulikana kama Division General.
Kuna swali?
- Cadet officer
- 2nd Lieutenant
- Lieutenant
- Captain
- Major
- Major Colonel
- Captain Colonel
- Lieutenant Colonel
- Colonel
- Brigadier
- Brigadier General
- Colonel General
- Major General
- Captain General
- Lieutenant General
- General
- Field Marshall
Soma Pia: Mpangilio wa vyeo vya JWTZ. Mwenye nyongeza tujuzane
Umetaja mtiritiko wa vyeo vya majeshi ya nchi mbalimbali kama China, Urusi na Brazil ukiihusianisha na JWTZ.Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi letu. Nimeona niweke mtililiko kamili wa vyeo hivyo ili kuelewesha ni vyeo gani ambavyo havitumiki kwenye jeshi letu.
Kwenye mtililiko huu, vyeo nilivyowekea rangi nyekundu havitumiki Tanzania lakini vinaweza kuwa vinatumika katika nchi nyingine ambako pia unaweza kukuta wamevigeuza; kwa mfano kwa Urusi Colonel General yuko juu ya Major General. Nchi nyingine zinatumia majina tofauti kwa vyeo hivyo, kwa mfano China ambayo haina cheo cha Brigadier au Brigadier General inakitambua cheo cha Colonel General kama Senior Colonel; cheo hicho huko Brazil kinajulikana kama Division General.
Kuna swali?
- Cadet officer
- 2nd Lieutenant
- Lieutenant
- Captain
- Major
- Major Colonel
- Captain Colonel
- Lieutenant Colonel
- Colonel
- Brigadier
- Brigadier General
- Colonel General
- Major General
- Captain General
- Lieutenant General
- General
- Field Marshall
Soma Pia: Mpangilio wa vyeo vya JWTZ. Mwenye nyongeza tujuzane
Topic inahusu maafisa wa jeshi kuanzia cadet officer. Haikusema vyeo vyote vya JWTZUmetaja mtiritiko wa vyeo vya majeshi ya nchi mbalimbali kama China, Urusi na Brazil ukiihusianisha na JWTZ.
Ili somo liwe maridhawa, ungetudadavulia kwanza mtiririko wa vyeo kwenye jeshi letu la ulinzi ili tuufahamu; bila kuchanganya na mtiririko wa vyeo vya majeshi mengine ambayo mimi nadhani kweli sisi raia siyo muhimu sana.
Kwa kadri ya ufahahamu wangu kutoka JKT (OP. Nguvu Kazi 835 KJ); mtiririko wa vyeo JWTZ (kama hakuna mabadiliko) ni kama ifuatavyo:-
A: NCOs (Non Commissioned Officers)
1. Recruit
2.Private
3. Lance Corporal
4. Corporal
5. Seargent
6. Staff Seargent
7. Warrant Officer II (Two)
8. Warrant Officer I (One)
B: Commissioned Officers
9. Second Lieutenant
10. Lieutenant
11. Captain
12. Major
13. Lieutenant Colonel
14. Colonel
15. Brigadier General (1 ⭐️ )
16. Major General (2 ⭐️)
17. Lieutenant General (3 ⭐️)
18. General (4 ⭐️)
Inawezekana kuna mahali nimekosea mtiririko wa vyeo hivyo kutokana na muda mrefu yangu nimepitia mambo hayo (1984); anayefahamu uweke usahihi wake.
Senior master sagent,Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi letu. Nimeona niweke mtililiko kamili wa vyeo hivyo ili kuelewesha ni vyeo gani ambavyo havitumiki kwenye jeshi letu.