robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Unanikumbusha wakati wa MwendazakeRoho za visasi na kwanini ilikuwa awamu ya tano, usitake kutesa familia za watu
[emoji38]Roho za visasi na kwanini ilikuwa awamu ya tano, usitake kutesa familia za watu
Hapa bongo huo utaratibu ukianza watakaoguswa ni masikini tu afadhali waachwe tu, usitegemee mbunge kupatikana na cheti feki[emoji38]
Na hata mbunge akipatikana na hyo degree feki, provided anajua kusoma na kuandika anaendelea kupiga Ml.12 zake kwa mwezi bila wasiwasi wowote! Ila Ole ni kwa mwalimu wa sekondari anayelipwa Laki 3 akipatikana na hyo degree feki ni nyumbani one way, no discussion on that, wanyonge ndio watakao umizwa na hyo system!Hapa bongo huo utaratibu ukianza watakaoguswa ni masikini tu afadhali waachwe tu, usitegemee mbunge kupatikana na cheti feki
We mjinga tu, nani kasema walofeli form four na wakapata degree hawakuguswa.Nasikia kuna wabunge wanawatetea wenye vyeti feki, binafsi naomba serikali iongeze ukaguzi wa vyeti feki vya digrii serikalini. Utendaji mbovu unaojadiliwa baada ya Assad kuzungumzia uzoefu wake akiwa CAG, yawezekana ni matokeo ya watu hawa.
Tunao watu wengi na hasa wale waliijaribu elimu ya chuo kikuu na kushindwa kumaliza masomo yao, zipo taarifa kwamba mni wengi waliochomga vyeti feki na wengine sasa wana digrii ya pili.
Rais Samia, ongeza hili. Mwenzako alianza na form 4, wewe nenda mbali zaidi, ongeza vyeti feki vya digrii.
Majungu siyo mtajiNasikia kuna wabunge wanawatetea wenye vyeti feki, binafsi naomba serikali iongeze ukaguzi wa vyeti feki vya digrii serikalini. Utendaji mbovu unaojadiliwa baada ya Assad kuzungumzia uzoefu wake akiwa CAG, yawezekana ni matokeo ya watu hawa.
Tunao watu wengi na hasa wale waliijaribu elimu ya chuo kikuu na kushindwa kumaliza masomo yao, zipo taarifa kwamba mni wengi waliochomga vyeti feki na wengine sasa wana digrii ya pili.
Rais Samia, ongeza hili. Mwenzako alianza na form 4, wewe nenda mbali zaidi, ongeza vyeti feki vya digrii.
Kama unaona vyeti feki kufukuzwa ni roho ya za visasi, basi kweli tulishaamini mafanikio ya kishenzi!Roho za visasi na kwanini ilikuwa awamu ya tano, usitake kutesa familia za watu