Tetesi: Vyeti feki , Serikali imesalimu amri ? Waliondolewa bandari warejeshwa !

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie hapohapo.

Sasa ili kuua soo ikabidi wote walioondolewa Bandarini warejeshwe kazini , tena bila masharti yoyote , wakiwemo hata wale waliobainika kutokujua kusoma wala kuandika .

Wito wangu kwa serikali , tuwe makini tunapoamua kutangaza mambo kama haya ambayo huunguza NYUMBA na MASHAMBA .

Nakulilia Tanzania .
 
Hii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie hapohapo.

Sasa ili kuua soo ikabidi wote walioondolewa Bandarini warejeshwe kazini , tena bila masharti yoyote , wakiwemo hata wale waliobainika kutokujua kusoma wala kuandika .

Wito wa kwa serikali , tuwe makini tunapoamua kutangaza mambo kama haya ambayo huunguza NYUMBA na MASHAMBA .

Nakulilia Tanzania .
tetesi
 
Acha Uongo wewe, Mbona Nyumbu mnazusha sana taarifa zisizo sahihi?

Kwa ufupi, hakuna kitu kama hicho bandarini kwa sababu, bado zoezi linaendelea la uhakiki.

Wale wenye vyeti ambavyo si vizuri hawakusimamishwa kazi, (Mleta mada acha uongo) sasa umsimamishe kazi mtu kama huyu kisa cheti si kizuri?)
 
Uzoefu kazini unahitajika sanaa ... ukikurupuka Tu Kazi Haziendi
 
Kuna mtu nilishamwambia kama unasubiri kazi za bandari ya Bagamoyo basi sawa lakini kama unasubiri bandari zilizopo kwa sababu tu umesikia kuna wenye vyeti feki zaidi ya 600 basi anza tena O-Level kwanza na ukishamaliza ndo utakuta hizo ajira!
 
Acha Uongo wewe, Mbona Nyumbu mnazusha sana taarifa zisizo sahihi?

Kwa ufupi, hakuna kitu kama hicho bandarini kwa sababu, bado zoezi linaendelea la uhakiki.

Wale wenye vyeti ambavyo si vizuri hawakusimamishwa kazi, (Mleta mada acha uongo) sasa umsimamishe kazi mtu kama huyu kisa cheti si kizuri?)

bila kutumia lugha ya kashfa ujumbe wako usingeeleweka?
 
Mnataka awaachishe kazi familia zao zikalale njaa 2020 wasimpe kura.

Hawafukuzwi. Watalipwa kulingana na elimu zao na hakuna tena mtu atakayeingia serikalini na cheti/vyeti fake.
 
Hii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie hapohapo.

Sasa ili kuua soo ikabidi wote walioondolewa Bandarini warejeshwe kazini , tena bila masharti yoyote , wakiwemo hata wale waliobainika kutokujua kusoma wala kuandika .

Wito wa kwa serikali , tuwe makini tunapoamua kutangaza mambo kama haya ambayo huunguza NYUMBA na MASHAMBA .

Nakulilia Tanzania .

1.Nani aliondolewa bandarini,unaweza leta link ya hiyo habari ?

2.Mtu ambaye hajui kusoma na kuandika atafanya kazi gani bandarini ?

JF kuna wapika story wengi sana siku hizi
 
Mnataka awaachishe kazi familia zao zikalale njaa 2020 wasimpe kura.

Hawafukuzwi. Watalipwa kulingana na elimu zao na hakuna tena mtu atakayeingia serikalini na cheti/vyeti fake.
Yameshamshinda!
 
Acha Uongo wewe, Mbona Nyumbu mnazusha sana taarifa zisizo sahihi?

Kwa ufupi, hakuna kitu kama hicho bandarini kwa sababu, bado zoezi linaendelea la uhakiki.

Wale wenye vyeti ambavyo si vizuri hawakusimamishwa kazi, (Mleta mada acha uongo) sasa umsimamishe kazi mtu kama huyu kisa cheti si kizuri?)
Unamung'unya maneno ili iweje na wakati baadhi ya wahanga ni ndugu zetu , unaposema cheti si kizuri una maana gani ?

Hivi mtu aliyeshindwa kuleta nakala halisi ya cheti chake cha kariakoo unamfanyaje ? , walioondolewa wamerejeshwa na tumeiweka hapa kama tetesi tukisubiri uthibitisho tu , ila watu wanapiga kazi .
 
Acha Uongo wewe, Mbona Nyumbu mnazusha sana taarifa zisizo sahihi?

Kwa ufupi, hakuna kitu kama hicho bandarini kwa sababu, bado zoezi linaendelea la uhakiki.

Wale wenye vyeti ambavyo si vizuri hawakusimamishwa kazi, (Mleta mada acha uongo) sasa umsimamishe kazi mtu kama huyu kisa cheti si kizuri?)
Unamaajisha nn "cheti sio kizuri" coz nadhan mtoa mada anaongelea vyeti feki, ww unaongelea uzuri wa cheti ukimaanisha perfomance au nn, dadavua kdg!!!
 
Hii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie hapohapo.

Sasa ili kuua soo ikabidi wote walioondolewa Bandarini warejeshwe kazini , tena bila masharti yoyote , wakiwemo hata wale waliobainika kutokujua kusoma wala kuandika .

Wito wa kwa serikali , tuwe makini tunapoamua kutangaza mambo kama haya ambayo huunguza NYUMBA na MASHAMBA .

Nakulilia Tanzania .
Mkuu unataka kusema kama wangeendelea panga lingewakuta vigogo ?
 
Tukiachana na yote, tujiulize hili swali...je Mkulu Ana Washauri? na huwa ana fuata Ushauri?
 
Acha Uongo wewe, Mbona Nyumbu mnazusha sana taarifa zisizo sahihi?

Kwa ufupi, hakuna kitu kama hicho bandarini kwa sababu, bado zoezi linaendelea la uhakiki.

Wale wenye vyeti ambavyo si vizuri hawakusimamishwa kazi, (Mleta mada acha uongo) sasa umsimamishe kazi mtu kama huyu kisa cheti si kizuri?)
nyumbu hawana pakushika
 
Back
Top Bottom