kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Acha upuuzi wako unaoleta hapa au na wewe una cheti feki au?seeikali aiwezi kufanya upuuzi wa namna hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ile wizara iliyomshughulikia chura wa snura? atakutana na shindu na shiloleKAIRUKI HII WIZARA HAIWEZI BORA WANGEMPA HATA WIZARA YA MICHEZO
mkuu,jana bakhresa alikupa bahasha?nyumbu hawana pakushika
Hii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie hapohapo.
Sasa ili kuua soo ikabidi wote walioondolewa Bandarini warejeshwe kazini , tena bila masharti yoyote , wakiwemo hata wale waliobainika kutokujua kusoma wala kuandika .
Wito wa kwa serikali , tuwe makini tunapoamua kutangaza mambo kama haya ambayo huunguza NYUMBA na MASHAMBA .
Nakulilia Tanzania .
Mkuu, umeua.Kuna mtakatifu wa Ikulu mzuri sana kwa kukurupuka SERA SIFURI nchi imeshamshinda kabaki kuonea wanyonge tu. Hmmmmm Phd ......
Mkuu,acha uchochezi!Veti Feki wangeanzia Ikulu
Walishakosea tangu mwanzo kwa kuzembea haya yakatokea hivyo huwezi kufukuza wafanyakazi wengi kwa mpigo na hapo hapo ukaajiri wengine wengi wasio na uzoefu ukatarajia kuwe na tija.Ndio maana hata huko jeshini wanapata kigugumizi.Wao wajikite kudhibiti kuanzia sasa viginevyo tujiandae kwa faida na hasara ya watakachoamua.Hii taarifa sio tetesi ni kweli kabsa mafisadi wa elimu wameshaiweka mfukoni serikali..........
Nimeipata pia Kwa rafiki yangu IT anafanya kazi hapo TPA
Mungu akulinde sana mkuu.Hii taarifa sio tetesi ni kweli kabsa mafisadi wa elimu wameshaiweka mfukoni serikali..........
Nimeipata pia Kwa rafiki yangu IT anafanya kazi hapo TPA
Kama ni kwa manufaa ya Taifa , funguka .Huyu mama kila napoona jina lake tu kuna kitu kinanijia mdomoni kwa spidi!!!wacha niishie hapo tu
Ananifrahisha sanaKama ni kwa manufaa ya Taifa , funguka .
Hii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie hapohapo.
Sasa ili kuua soo ikabidi wote walioondolewa Bandarini warejeshwe kazini , tena bila masharti yoyote , wakiwemo hata wale waliobainika kutokujua kusoma wala kuandika .
Wito wa kwa serikali , tuwe makini tunapoamua kutangaza mambo kama haya ambayo huunguza NYUMBA na MASHAMBA .
Nakulilia Tanzania .
Sie tuna watoto wako huko Bandari wanafanya kazi , uhakiki unaendelea na atakayepatikana atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria . Usikae nyuma ya keyboard na kutengeneza maneno. Uzu
Acha ketengeneza maneno ukiwa kwenye keyboard ., hakuna kitu kama hicho uhakiki unaendelea .Hii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie hapohapo.
Sasa ili kuua soo ikabidi wote walioondolewa Bandarini warejeshwe kazini , tena bila masharti yoyote , wakiwemo hata wale waliobainika kutokujua kusoma wala kuandika .
Wito wa kwa serikali , tuwe makini tunapoamua kutangaza mambo kama haya ambayo huunguza NYUMBA na MASHAMBA .
Nakulilia Tanzania .
Hii ni tetesi tu mkuu , hakuna haja ya kupanic.