Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unaambiwa ni noma mkuu !KAIRUKI HII WIZARA HAIWEZI BORA WANGEMPA HATA WIZARA YA MICHEZO
tetesiHii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie hapohapo.
Sasa ili kuua soo ikabidi wote walioondolewa Bandarini warejeshwe kazini , tena bila masharti yoyote , wakiwemo hata wale waliobainika kutokujua kusoma wala kuandika .
Wito wa kwa serikali , tuwe makini tunapoamua kutangaza mambo kama haya ambayo huunguza NYUMBA na MASHAMBA .
Nakulilia Tanzania .
Acha Uongo wewe, Mbona Nyumbu mnazusha sana taarifa zisizo sahihi?
Kwa ufupi, hakuna kitu kama hicho bandarini kwa sababu, bado zoezi linaendelea la uhakiki.
Wale wenye vyeti ambavyo si vizuri hawakusimamishwa kazi, (Mleta mada acha uongo) sasa umsimamishe kazi mtu kama huyu kisa cheti si kizuri?)
Hii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie hapohapo.
Sasa ili kuua soo ikabidi wote walioondolewa Bandarini warejeshwe kazini , tena bila masharti yoyote , wakiwemo hata wale waliobainika kutokujua kusoma wala kuandika .
Wito wa kwa serikali , tuwe makini tunapoamua kutangaza mambo kama haya ambayo huunguza NYUMBA na MASHAMBA .
Nakulilia Tanzania .
Yameshamshinda!Mnataka awaachishe kazi familia zao zikalale njaa 2020 wasimpe kura.
Hawafukuzwi. Watalipwa kulingana na elimu zao na hakuna tena mtu atakayeingia serikalini na cheti/vyeti fake.
Unamung'unya maneno ili iweje na wakati baadhi ya wahanga ni ndugu zetu , unaposema cheti si kizuri una maana gani ?Acha Uongo wewe, Mbona Nyumbu mnazusha sana taarifa zisizo sahihi?
Kwa ufupi, hakuna kitu kama hicho bandarini kwa sababu, bado zoezi linaendelea la uhakiki.
Wale wenye vyeti ambavyo si vizuri hawakusimamishwa kazi, (Mleta mada acha uongo) sasa umsimamishe kazi mtu kama huyu kisa cheti si kizuri?)
Unamaajisha nn "cheti sio kizuri" coz nadhan mtoa mada anaongelea vyeti feki, ww unaongelea uzuri wa cheti ukimaanisha perfomance au nn, dadavua kdg!!!Acha Uongo wewe, Mbona Nyumbu mnazusha sana taarifa zisizo sahihi?
Kwa ufupi, hakuna kitu kama hicho bandarini kwa sababu, bado zoezi linaendelea la uhakiki.
Wale wenye vyeti ambavyo si vizuri hawakusimamishwa kazi, (Mleta mada acha uongo) sasa umsimamishe kazi mtu kama huyu kisa cheti si kizuri?)
Hii ni tetesi tu mkuu , hakuna haja ya kupanic.1.Nani aliondolewa bandarini,unaweza leta link ya hiyo habari ?
2.Mtu ambaye hajui kusoma na kuandika atafanya kazi gani bandarini ?
JF kuna wapika story wengi sana siku hizi
Mkuu unataka kusema kama wangeendelea panga lingewakuta vigogo ?Hii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie hapohapo.
Sasa ili kuua soo ikabidi wote walioondolewa Bandarini warejeshwe kazini , tena bila masharti yoyote , wakiwemo hata wale waliobainika kutokujua kusoma wala kuandika .
Wito wa kwa serikali , tuwe makini tunapoamua kutangaza mambo kama haya ambayo huunguza NYUMBA na MASHAMBA .
Nakulilia Tanzania .
nyumbu hawana pakushikaAcha Uongo wewe, Mbona Nyumbu mnazusha sana taarifa zisizo sahihi?