Kwaio aweke mke mkuu..Mmh ajira zenyewe hakuna hivyo vyeti vina faida gani???.....Vyeti ni makaratasi tu yasiyokuwa na ishu yoyotte hata pale Posta wanavifyatua tu kwa tsh elfu hamsini...Ukitaka cha degree , Masters,PHD unapata....Vyeti kwa TZ havina thamani yoyote mkuu wangu
Haha angekuwa hata na kipande cha shamba huko kijijini kingekuwa na thamani zaidi ya hivyo vyeti...Kwaio aweke mke mkuu..
Hii life watu wanatoka mbali sanaDah!
Napo ona hivi naumia sana.
Mkuu pambana kaka, ningekuazima sema na mimi ela zangu zipo kwa watu.
Watu nao hawataki kurdisha.
Kwakua na mimi nadaiwa nasema poa tu.
Usiogope kukopa mkuu, kopa sana, na wewe kopesha piaa
Wakuu
Ninahitaji milioni nne pekee kuendeleza biashara zangu. Nipo tayari kuweka dhamana ya vyeti vyangu vyote kuanzia kidato cha nne hadi chuo kikuu.
Mwezi December nitarejesha mkopo hata ikiwa kwa riba na kurejesha vyeti vyangu (hili halina shaka)
Kwa anayeweza kunisaidia kwa hili tafadhali wasiliana nami kwa namba hii
0756092096
Nawasilisha
Haha angekuwa hata na kipande cha shamba huko kijijini kingekuwa na thamani zaidi ya hivyo vyeti...
Vyeti vinakuwaje dhamana? Weka kitu
kinachoweza kubadirishwa kuwa hiyo 4m.