Vyeti vinawekwa Bond kwa mkopo wa milioni nne

Vyeti vinawekwa Bond kwa mkopo wa milioni nne

The bush

Member
Joined
May 17, 2018
Posts
17
Reaction score
8
Wakuu
Ninahitaji milioni nne pekee kuendeleza biashara zangu. Nipo tayari kuweka dhamana ya vyeti vyangu vyote kuanzia kidato cha nne hadi chuo kikuu.

Mwezi December nitarejesha mkopo hata ikiwa kwa riba na kurejesha vyeti vyangu (hili halina shaka)
Kwa anayeweza kunisaidia kwa hili tafadhali wasiliana nami kwa namba hii
0756092096

Nawasilisha
 
Mmh ajira zenyewe hakuna hivyo vyeti vina faida gani???.....Vyeti ni makaratasi tu yasiyokuwa na ishu yoyotte hata pale Posta wanavifyatua tu kwa tsh elfu hamsini...Ukitaka cha degree , Masters,PHD unapata....Vyeti kwa TZ havina thamani yoyote mkuu wangu
 
Kwaio aweke mke mkuu..
 
Dah!
Napo ona hivi naumia sana.

Mkuu pambana kaka, ningekuazima sema na mimi ela zangu zipo kwa watu.
Watu nao hawataki kurdisha.

Kwakua na mimi nadaiwa nasema poa tu.

Usiogope kukopa mkuu, kopa sana, na wewe kopesha piaa
 
Mambo ya Man'gati kukuachia shuka haya..watu kadi ya gari wanakataa sembuse cheti..haha
 
Vyeti vinakuwaje dhamana? Weka kitu
kinachoweza kubadirishwa kuwa hiyo 4m.
 
Dah!
Napo ona hivi naumia sana.

Mkuu pambana kaka, ningekuazima sema na mimi ela zangu zipo kwa watu.
Watu nao hawataki kurdisha.

Kwakua na mimi nadaiwa nasema poa tu.

Usiogope kukopa mkuu, kopa sana, na wewe kopesha piaa
Hii life watu wanatoka mbali sana
 
Wakuu
Ninahitaji milioni nne pekee kuendeleza biashara zangu. Nipo tayari kuweka dhamana ya vyeti vyangu vyote kuanzia kidato cha nne hadi chuo kikuu.

Mwezi December nitarejesha mkopo hata ikiwa kwa riba na kurejesha vyeti vyangu (hili halina shaka)
Kwa anayeweza kunisaidia kwa hili tafadhali wasiliana nami kwa namba hii
0756092096

Nawasilisha

Mkuu, Pole sana NAELEWA VIZURI UNAYOPITIA.

Mimi nilishatembea na laptop kwenye beg (HP ya almost 1.2 milioni) niiuze au niweke bond wapiii...nawaomba watu niwapeleke home wakasaminishe wapii wanataka bond ya kiwanja, gari au nyumba wakati me sina hata kimoja..

Baadae niliandika kama ka proposal cha project niliyotaka kufanya nikazunguka kwa watu kama 6 hivi ninaojuana nao. Thanks To God kuna mmoja alinielewa akanipa 2 milioni..Alhamdulillah nasongasonga.

Cha MSINGI Usikate tamaa.
 
.
IMG-20180611-WA0007.jpg
 
Vyeti vinakuwaje dhamana? Weka kitu
kinachoweza kubadirishwa kuwa hiyo 4m.

HIVI unahisi angekuwa na hicho kitu angeacha kuweka kweli?? . Mpaka mtu kaamua kuweka vyeti tena humu mitandaoni ujue hali ni tete
 
Back
Top Bottom