Vyeti vya darasa la saba

Vyeti vya darasa la saba

Mhono Mrenda

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
14
Reaction score
1
Hivi kila Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi anayekuja huwa na madiliko katika sekta ya elimu? Huyu aliyepo sijui kama amefuta utoaji wa vyeti vya darasa la saba. Kuna mwingine alikuwepo akataka watoto wawe wanaenda shule kupumzika kama siyo kulala maana alitaka kufuta masomo yote. Akianzia na somo la kilimo na biashara. Nimekumbuka hata michezo haikutakiwa, ni kulala tu.
 
Wew kumbe ticha shda yako uongezewe mshahara si ungesema tu kona nying za nin.
 
Ni kuwa vyeti havitolewi tena wewe maliza madara saba ishia zako.
 
Mimi siyo mtu wa maandamano hata siku moja. Maneno tu yanatosha
 
Back
Top Bottom