Vyeti vya DUCE vimeshatoka?

Vyeti vya DUCE vimeshatoka?

Farudume

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
3,946
Reaction score
3,689
Kwa wale wahitimu wa DUCE 2013 naomba mnijuze kama vyeti vimetoka maana huku mkoani sina mawasiliano kabisa. Kwa anayefahamu naomba anijuze.
 
Vimetoka Nenda udsm -Main Campus ukiwa na copy ya transcript, kitambulisho cha kazi au cha kura pamoja na tsh 5,000 utapewa cheti chako
 
Back
Top Bottom