F Farudume JF-Expert Member Joined Jan 10, 2013 Posts 3,946 Reaction score 3,689 Jul 15, 2014 #1 Kwa wale wahitimu wa DUCE 2013 naomba mnijuze kama vyeti vimetoka maana huku mkoani sina mawasiliano kabisa. Kwa anayefahamu naomba anijuze.
Kwa wale wahitimu wa DUCE 2013 naomba mnijuze kama vyeti vimetoka maana huku mkoani sina mawasiliano kabisa. Kwa anayefahamu naomba anijuze.
RSR Member Joined Dec 9, 2013 Posts 88 Reaction score 2 Jul 15, 2014 #2 Vimetoka Nenda udsm -Main Campus ukiwa na copy ya transcript, kitambulisho cha kazi au cha kura pamoja na tsh 5,000 utapewa cheti chako
Vimetoka Nenda udsm -Main Campus ukiwa na copy ya transcript, kitambulisho cha kazi au cha kura pamoja na tsh 5,000 utapewa cheti chako