Ikitoka kwa mulugo iende kwa Nchimbi na lile kundi lote la ndugu Msemakweli... Unajuwa na kazi kubwa sana kukosoa wananchi wako kwa makosa ambayo hata walio chini yako wanayo.Vyeti feki vipo vingi sana.Serikali ianzie kwa Mulugo then iende kwa kila mtumishi aliyeforge vyeti achukuliwe hatua za Kisheria wakianzia na kufukuzwa kazi then hatua zingine zifuatie.
Yaani ngoma droo, aliyeuza cheti kauza cheti bandia na aliyenunua cheti naye katoa hela bandiawakaguzi nao wamo na vyeti bandia na vyeti vya watu.......kazi ipo
Kama wanaokagua nao wanavyeti bandia zoezi nadhani litakua tata sana la sivyo wanaokagua wakaguliwe na waliokaguliwa.