VYETI VYA WATUMISHI ENDAPO VITAKAGULIWA SASA WATABAKI WANGAPIiiiiiiiiiiiiiiii

VYETI VYA WATUMISHI ENDAPO VITAKAGULIWA SASA WATABAKI WANGAPIiiiiiiiiiiiiiiii

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Kuna Tetesi Tanzania watumishi wa uma na Hata wewe unaesoma uzi Huu inawezekana uliiba cheti chako ukapata kazi,Hasa Waalimu Wengi na Mapolisi Kazi zenu si Halali ni Suala ambalo liko wazi.Je unadhani kuna umuhimu wa Vyeti kukaguliwa.Na endapo zoezi hili likisimamiwa bila uchakachuaji ni wangapi watabaki kazini leo.
 
Na hapa ndio tatizo linapoanzia,......
 
NECTA%2810%29.jpg
images
 
Namaanisha je wapo wenye vyeti feki ama la
 
Vyeti feki vipo vingi sana.Serikali ianzie kwa Mulugo then iende kwa kila mtumishi aliyeforge vyeti achukuliwe hatua za Kisheria wakianzia na kufukuzwa kazi then hatua zingine zifuatie.
 
Ni kweli vyeti vya kughushi vinatumika sana na mara nyingine mtu anatumia cheti cha mtu bila mwenye vyeti husika kujua.
 
NECTA wapewe hiyo tender ya kuhakiki vyeti, hakika kila ofisi patachimbika
 
Na ndo maana hata utendaji katika baadhi ya ofisi za serikali ni mbovu,wamejaa majungu tu.
 
wakaguzi nao wamo na vyeti bandia na vyeti vya watu.......kazi ipo
 
Vyeti feki vipo vingi sana.Serikali ianzie kwa Mulugo then iende kwa kila mtumishi aliyeforge vyeti achukuliwe hatua za Kisheria wakianzia na kufukuzwa kazi then hatua zingine zifuatie.
Ikitoka kwa mulugo iende kwa Nchimbi na lile kundi lote la ndugu Msemakweli... Unajuwa na kazi kubwa sana kukosoa wananchi wako kwa makosa ambayo hata walio chini yako wanayo.
 
Kama wanaokagua nao wanavyeti bandia zoezi nadhani litakua tata sana la sivyo wanaokagua wakaguliwe na waliokaguliwa.
 
Kama wanaokagua nao wanavyeti bandia zoezi nadhani litakua tata sana la sivyo wanaokagua wakaguliwe na waliokaguliwa.

Hapa ili haki itendeke inabidi tu outsource cia kwa mbongo ni utata mtupu
 
Ukaguzi ufanyike wizara moja hadi nyingine kuwabaini wenye vyeti feki na hatua za haraka zichukuliwe dhidi yao.
 
Back
Top Bottom